kwani unaogopa - nay wa mitego lyrics
kalio ooh! weeh! (aah! weeh! imeisha iyo)
kalio ooh! (aah! weeh! imeisha iyo)
kama unadanga danga umalaya si kazi yako (kwani unaogopa)
kama unaw*nga w*nga uchawi si kazi yako (kwani unaogopa)
twende bar ya jeshi tulewe harafu tuanzishe fujo (kwani unaogopa)
wee ni mwizi si kazi yako iba mpaka polisi (kwani unaogopa)
kalio ooh! weeh! (aah! weeh! imeisha iyo)
kalio ooh! (aah! weeh! imeisha iyo)
wee ni mlevi na unapenda pombe
kunywa mpaka uzime (kwani unaogopa)
una hamu na huna demu beba goma la mtu (kwani unaogopa)
pisi kali harafu upo single si uibe mume wa mtu (kwani unaogopa)
wee ni heater una chuki onyesha roho ya kutu (kwani unaogopa)
kalio ooh! weeh! (aah! weeh! imeisha iyo)
kalio ooh! (aah! weeh! imeisha iyo)
malaya piga kelele eeh!
wahuni piga kelele eeh!
utamu wa pombe ulewe eeh
raha ya mziki ucheze eeh!
cheza aah! (aiih!)
cheza aah! (aiih!)
cheza aah (aiih!)
cheza aah! (aiih! weeh!)
cheza aah (aiih!)
cheza aah (aiih!)
mama! aiyeye yeye yeye yeah! aah!
aah! mziki raha bhana,si mnaenjoy
haya twende turudi
twende eeh!,chini chini chini (twende)
juu, juu, juu ,juu
aah! yeah eeh! aah! haha,aah! okay
okay the true name
on the big joy kudadeki (kalio ooh!)
mnasema kweli (aah! weeeh! imeisha hiyo)
(free nation)
Random Song Lyrics :
- remember me - henry holden lyrics
- kung malaya lang ako - garrett bolden lyrics
- you know i - veeze lyrics
- 500 percent - team salut lyrics
- take your time - izaya tiji lyrics
- a turning of the tide - hayden calnin lyrics
- cerco casa a bologna - andrea vocino lyrics
- мужская любовь (male love) - bisexual from the village lyrics
- vibes - king envy lyrics
- cased closed (ora mix) - laya lyrics