lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

katika - navy kenzo lyrics

Loading...

[chorus]
katik, katika aah eh
katik, katika aah eh
katik, katika aah eh

[verse 1]
ninamidadi ka ya ruba, eeh
kibao kata kinyonga, ooh-naa
mf-koni namavumba, weeeh
nungu chini linasunta, eeeh

yani bo bo bo bo boo
kananikosh-ga robo ooo
yani nasimama de de de dee
kakitingisha wo wo wo wo

baby girl dance for me one time, seketoo
miono feni kunata, seketoo
tena jifunge na ngata, seketoo
zile za kibao kata, seketoo..

[chorus]
katik, katika aah eh
katik, katika aah eh
katik, katika aah eh..

[verse 2]
yani katot ni, kako ni ni nii
kamekazika ni ngi ngi ngii
nyuma mbwii, kako mbwi mbwi mbwii
kana misifa shangi ngi ngii

nilikavizia kitamboo, aah eeh
loe kamenasa chambo, aah eeh
nkapakia na mgando, aah eeh
kajegeje karambo, aah eeh

kana michenzo ngomani
sindimba izombe
nami nampatia za pwani
muhogo wa jang’ombe

yani e e e ee
kananikosh-ga roho o o o
waga nasimama de de de dee
kakitingisha wo wo wo wo

oooh yaaah, ooh nadendeaa
yani siwezi kutembea
che cheme na checheme
yani hadi na legea

[ navy kenzo ft diamond platnumz katika lyrics ]
[chorus]
katik, katika aah eh
katik, katika aah eh
katik, katika aah eh..

[verse 3]
maumivu naugulia
mwiba ukizama nahisi mateso
utamu mang’ang’ania versuri.online
ndizi kwa nyuma napata mchecheto

nakuna n-z- kwa mkongojo, aah eeh
naunga mchuza wa sotojo, aah eeh
una la rosti rojo rojo, aah eeh
mikunjo fulani wa bogojo, aah eeh

kibao kata tenteme tenteme
kilinge ni kuzama uchutame
uwezi pata we mpaka usimame
haichagui mwembamba mnene

nikalaze kwa bed kitanda, kwa geto
nikachezeshe samba, roketo
na kalivo na body kinanda, sepetu
tunguli zimenibamba, mobetto

[chorus]
katik, katika aah eh
katik, katika aah eh
katik, katika aah eh

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...