lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

bampa 2 bampa (feat. nandy) - navy kenzo lyrics

Loading...

upendo usitie vigingi
kitandani mwendo wa bakora
kichwani ibaki vumbi
meno kusaga mkongora
ninavoliseti ilo keti
natema sumu ka dondora
maji kulowesha ny.$&$.ti
kifo cha mende kuchochora

marafiki wa shuka ni kitanda na godoro
ooohh fisi yake mifupa sio supu ya kongoro
au kisa ufundi maujuzi ndio unifanye vibaya
nivike sura ya mbuzi nikufichie mabaya

me i’m bampa to bampa

me and you bampa to bampa
penzi lako bampa to bampa
linanoga bampa to bampa
oohhhh darling ee bampa to bampa

me and you bampa to bampa
penzi lako bampa to bampa
linanoga bampa to bampa

hey nimekuwa chizi (hey nmekua chizi)
maji mimi kila saa na sijiwezi
majuto ni mjukuu
naridhika na wew tuu
kukuacha si thubutu
usiniache weweeee

tujinafasi kibampataa nitakuja kujuta ukinikataa

me i’m bampa to bampa

me and you bampa to bampa
penzi lako bampa to bampa
linanoga bampa to bampa
oohhhh darling ee bampa to bampa

me and you bampa to bampa
penzi lako bampa to bampa
linanoga bampa to bampa

bampa bampa
the men is hunter
nampa nampa
chochote anataka
nipe tepetepe me nilowe
kisu chako nikinowe
umenishika kwenye lowes… hey…

marafiki wa shuka ni kitanda na godoro
ooohh fisi yake mifupa sio supu ya kongoro
au kisa ufundi maujuzi ndio unifanye vibaya
nivike sura ya mbuzi nikufichie mabaya

me i’m bampa to bampa

me and you bampa to bampa
penzi lako bampa to bampa
linanoga bampa to bampa
oohhhh darling ee bampa to bampa

me and you bampa to bampa
penzi lako bampa to bampa
linanoga bampa to bampa

tro_ben

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...