ninogeshe - nandy lyrics
emma the boy on the beat
aai ni wewe ubavu w-ngu mwenyewe
ukifa nizikwe na wewe, nikifa uzikwe na mie
oh baby wee
ninogeshe, ninogeshee baby
baby ninogeshe
ninogeshe, ninogeshee baby
baby ninogeshe
aaah kwachukwachu kushea na watu sitaaki
ooh baby
boda boda yangu vipi nipande mishikaki
siwezi!
basi ninogeshe, ninogeshee baby
baby ninogeshe
ninogeshe, ninogeshee baby
baby ninogeshe
raha, raha tupu
kupendana na wewe, raha tu
raha, raha tupu
kupendana na wewe, raha tupu
unanipaga furaha hivi
ukiniacha utanipa jaka la roho
nipe mimi kwingine we useme no
shinde ibilisi kwenye kichwa chako ooohoo
mi mwenzako mkiwa baba
mkiwa wa wapenzi baba
usinione nalia sana
nalilia mapenzi
chochote utachoniambia (sawa)
mimi nitaridhia baba
hata ukiwa mbali nitasubiria
ah basi ninogeshe, ninogeshee baby
baby ninogeshe
ninogeshe, ninogeshee baby
baby ninogeshe
raha, raha tupu
kupendana na wewe, raha tu
raha, raha tupu
kupendana na wewe, raha tupu
tusiwe tysoni naivanda kisa kosa
(kupendana na wewe)
presha kupanda kushuka kisa nini?
(kupendana na wewe)
mi mwenzako nakupenda nafurahi
(kupendana na wewe)
nivike pete ya roho isiyotoka, mmmh!
raha, raha tupu
kupendana na wewe, raha tupu
raha, raha tupu
Random Song Lyrics :
- home is where the heart is - braxton hicks uk lyrics
- aim without an aim - napalm death lyrics
- in tenebris - sister sleep lyrics
- trioxin - isolated beingz lyrics
- nothin' to fast! - jacob, the first son lyrics
- the entertainer - sean forbes lyrics
- mind - 6ez5amyati lyrics
- activos - fufu (geo) lyrics
- relajado - caliope family lyrics
- censorsh!t (rotersand redub) - nitronoise lyrics