lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nimekuzoea - nandy lyrics

Loading...

aiyayayaay
aiyayayy
aiyaiyaaah

niko tuli beibee kama maji kwa mtungi
nyonga purii beibee nivute niishi nibaki kishungiii
aiy zurii beibe nibariki nigande ka gundii
maakulii beibe nilishe nishibe kitumbo ndindiiii aiiiiy
unanii koleza unanii chombeza unanii legeza aii wee
ukianzaga ndani unayawezaa tandani kwenye mezaa sunami jeneza ni wee
nakupenda nakuwaza forever you my bubu unipendeeee nikupendee
nimekuzoea nimekuzoea nime nime nime nimekuzoea
nimekuzoea nimekuzoea nime nime nime nimekuzoea
aiyayayayayah aiyayaya aaah
kazoea vyote kazoea mpk kazoeaaaa
kabobea kote kabobea mpk kabobea tenaaa
nalowea kote nalowea mpk naloweaaa
inakolea yote inakolea tamu kukolea tena
nipo katikati nazungukwa na upendo
sa natokea wapi kaziba kote hajaacha pengo
wanafikaga wapii pekuu bila sendooh
sike saa ngap vyote tembea kwa wako mwendo
nakupenda nakuwaza forever you my bubu unipendeeeee nikupende
nimekuzoea nimekuzoea nime nime nime nimekuzoea
nimekuzoea nimekuzoea nime nime nime nimekuzoea

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...