nalivua pendo (remix) - nandy lyrics
oh oh oh oh
leo nalivua pendo nililopenda zamani
nabadilli w*ngu mwendo nami niwe furahani
nimechoshwa na skendo, vita na purukushani
kweli asiyejua pendo apendwapo hapaoni
nilimpa kwa kishindo penzi lote la moyoni
raha na wingi uhondo sik*mnyima mwandani
ameyavunja kwa nyundo mwenzenu sikuamini
leo nalivua pendo nirudi yangu thamani
nainua mikono baba kitambaa cheupe
ishara ya mapenzi baba ooh zimora
wewe na mi zimora baba ua langu la moyo
haya yote ni tisa tuu moja jaza pekee
ada ya mja hunena, ungwana ni kitendo uuh
hadhi yangu kubwa sana si mimi kuwa mdondoo
wewe na mi zimora baba ua langu la moyo
haya yote ni tisa tuu moja jaza pekee
nimehitimu msondo msondo wa kizamani
nikahusiwa upendo upendo siri yake nini
nimefundwa kimitindo na starehe za chumbani
kupendana ni matendo mtendeane hisiani
kweli mchezea jando mapenzi kwake ni nini?
bora niyapige tindo (turururu)
mimi nawe buriani
nainua mikono baba kitambaa cheupe
ishara ya mapenzi baba ooh zimora
wewe na mi zimora baba ua langu la moyo
haya yote ni tisa tuu moja jaza pekee
ada ya mja hunena, ungwana ni kitendo uuh
hadhi yangu kubwa sana si mimi kuwa mdondoo
wewe na mi zimora baba ua langu la moyo
haya yote ni tisa tuu moja jaza pekee
wewe na mi zimora baba ua langu la moyo
haya yote ni tisa tuu moja jaza pekee
chika chika chika chika chika mwasiti
chika chika chika chika chika chika
haya yote ni tisa tuu
zimora zimooora
zimoraa oooh baba
Random Song Lyrics :
- bird on a chain - florence black lyrics
- ready to go - max brit lyrics
- don’t come and go - zupiter lyrics
- winter wonderland - joan garrido lyrics
- my girlfriend - lil xan lyrics
- untitled.mp3 - doblel lyrics
- на трапе snippet - seemee lyrics
- team 7 - fxkuto lyrics
- familie kabeljau - udo lindenberg lyrics
- putting a spin on payphone - egg (mylifeisayolk) lyrics