dah! - nandy lyrics
mie salama na mzima
sina hata useme adaah
mie salama na mzima
sina hata useme adaah
umenishika kwa mtima
pumzi sihemi adaaah
penzi si made in china
halinaga utemi adaaah
nyingi dua amina ololofemi adaaah
tumeipamba nyumba kwa tabasamu
macho fumbua fumba hunihishi hamu
wanaongea pumba, tuwafunze nidham
kwa moyo upo mchumba hadi kwenye damu
chorus
nguvu sina daaah da da da daah dah
umenimaliza daaah da da da daah dah
akili kabisa inadata daaah da da da daah dah
umeniweza mpenzi daaah da da da daah daah
nibebeshe mazito mepesi unipokee
tufate mtiririko mbali tutokomee
wapate makasiriko zodo tuwazomee
penzi funika funiko funika funiko
penzi limestawi bila k*mwagiliwa
penzi sio uchawi eti atumwe njiwa
tumeipamba nyumba kwa tabasamu
macho fumbua fumba hunihishi hamu
wanaongea pumba, tuwafunze nidham
kwa moyo upo mchumba hadi kwenye damu
chorus
nguvu sina daaah da da da daah dah
umenimaliza daaah da da da daah dah
akili kabisa inadata daaah da da da daah dah
umeniweza mpеnzi daaah da da da daah daah
Random Song Lyrics :
- sure shot - skiggy rapz lyrics
- zayzay - fouki lyrics
- timboektoe - agricola lyrics
- punch it, punk! - ferry (vocaloid) lyrics
- hypnxsis - wekt cult lyrics
- υπερβολές (ipervoles) - eirini papadopoulou lyrics
- bayonet - curtis mcmurtry lyrics
- weekend warrior - fetta lyrics
- blow up (abdee & raxx) - raxx og lyrics
- дробовик (shotgun) - shallyroat lyrics