lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

maria - nande boyz lyrics

Loading...

(verse 1) (pakii)

nalamuki na mbeto na fouiller palais mobimba
maria okimi otikeli nga bana
natuni voisin alobi omataki subaru
bozalaki yo sipora na sumuta
naamini kule ulipo we uko salama
umesahau yote ya nyuma
ume ni terekeza na wana
kutwa hawachoki kuuliza
wapi mama
nime onekana kama baba asiye na maana

(hook)

maria ee maria ee
maria mama
maria mama
maman ya bana ee
maria ee maria ee
maria mama
maria mama
tuliya mama ee
maria ee maria ee
maria mama
maman ya bana ee
maria ee maria ee
maria mama
maria mama tuliya mama ee
(verse 2) (lbk)

basikuja hata watoto uwajuliye hali
they are innocents
they are innocents
tena k*mbuka juwa kitanda
hakizaee haramu
they are innocents
they innocents
maamuzi yako na ya heshimu
sawa sita kusumbuwa kwa simu
najuwa vile wapema matamu
ila juwa muke wawatu sumu
bila talaka maria umeondoka
ina niuma maria wananicheka

(hook)

maria ee maria ee
maria mama
maria mama
maman ya bana ee
maria ee maria ee
maria mama
maria mama tuliya mama ee
maria ee maria ee
maria mama
maria mama maman ya bana ee
maria ee maria ee
maria mama
maria mama tuliya mama ee
(verse 3) (pakii)

naona maria mushumaa umezima
unayo fanya tofauti na jana
ulikuwa mpole
sasa leo mbona ume badilika
yule maria naye juwa
siyo maria nnaye sikiya leo
leo umekuwa cha wote
kupana uroda popote
wanao kuulizia mi sijibu lolote
kutwa hawachoki kuuliza wapi mama
nime onekana kama baba asiye na maana

(hook)

maria ee maria ee
maria mama
maria mama
maman ya bana ee
maria ee maria ee
maria mama
maria mama tuliya mama ee
maria ee maria ee
maria mama
maria mama
maman ya bana ee
maria ee maria ee
maria mama
maria mama tuliya mama ee

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...