maisha - nameless (ken) lyrics
[intro]
yah, weh is how?
are you ready for this?
(mko tayari lakini)
this goes out to all the haters
(vitunguu saumu si mwajijua?)
[pre-chorus]
something going
loving you hating you
something going
always irritating you
something going
try to playa hater you
something going
even sabotaging you
[chorus]
coz this is my (maisha maisha)
don’t you mess with my (maisha maisha)
coz if you mess with my (maisha maisha)
i will mess with your (maisha maisha)
[verse 1: nameless]
mister mister tryna pester me
don’t you see you’re just a wannabe
na kwa wale walitusaliti (aah ooh)
shika mate
now you wanna wanna playa hater me
now you wanna wanna irritate me
now you wanna wanna be my enemy
aahh-seee
[chorus]
coz this is my (maisha maisha)
don’t you mess with my (maisha maisha)
coz if you mess with my (maisha maisha)
i will mess with your (maisha maisha)
[verse 2: nameless]
peep peep
songa kando
it looks like you cannot handle
it takes two to tango
me and you baby on the dancefloor
sister sister what’s the matter eh?
don’t you want to kata-kata eh?
sister sister what’s the matter eh?
ay yo e-sir, p-ss the courvousier
(ati nini ati nini?)
i said p-ss the courvousier
(hallo weh nameless sikuhisi lakini, wasemaje?)
i said p-ss the courvousier
(pascal safari eh? pastor safari?)
p-ss the courvousier
(ahh nakuhisi sasa h-llo)
are you ready for this?
[verse 3: e-sir]
unanichukia
nakuchukia pia
mara mbili zaidi
hunilishi hunibishi
hunipatii mimi
chakula jioni
hunipatii mimi
chakula asubuhi
ninawapawapa muziki
lakini vile nawapa hamunihisi
basi inanibidi nikiwapa muziki
niwape muziki hivi
ninawapawapa muziki
lakini vile nawapa hamunihisi
basi inanibidi nikiwapa muziki
niwape muziki hivi
[chorus]
coz this is my (maisha maisha)
don’t you mess with my (maisha maisha)
coz if you mess with my (maisha maisha)
i will mess with your (maisha maisha)
coz this is my (maisha maisha)
don’t you mess with my (maisha maisha)
coz if you mess with my (maisha maisha)
i will mess with your (maisha maisha)
[outro]
mabeshte
(vipi beshte twende)
masista
(vipi sista kata)
mabeshte
(vipi beshte twende)
masista
(vipi sista kata)
mabeshte
(vipi beshte twende)
masista
(vipi sista kata)
mabeshte
(vipi beshte twende)
masista
(vipi sista kata)
[chorus]
coz this is my (maisha maisha)
don’t you mess with my (maisha maisha)
coz if you mess with my (maisha maisha)
i will mess with your (maisha maisha)
coz this is my (maisha maisha)
don’t you mess with my (maisha maisha)
coz if you mess with my (maisha maisha)
i will mess with your (maisha maisha)
Random Song Lyrics :
- 365 - ektor lyrics
- pick it up - lil row lyrics
- man in the sky - connie converse lyrics
- trade - ayanda jiya lyrics
- think it over - streetlight cadence lyrics
- blue sky blue - feeder lyrics
- for everybody (remix) - lil treezy lyrics
- 도박 (life is a gamble) (remix) - jay park lyrics
- jungle muscle - tarzen lyrics
- obviously - izzie gibbs lyrics