slidin - naiboi lyrics
umebeba size yako
umebeba hauna presha
unatuliza roho
hata nitoe roho
na we ni mtoto wa kariokor
njoo tutese ungwaro
nafeel kama nimefall
ikam na sijiwezi no
nafeel kama nimefall
ikam na sijiwezi no
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
alete tuweke tutese
ah naiboi daily ni mimi na wewe
alete tuweke tutese
ah naiboi daily ni mimi na wewe
mtoto vеry sweet ka kuku za sanford
huhitaji sauce wala salt nayo nayo
kwanza ukiwa moshi na yako kamnyweso
hatuna though oh no no till they brеak or dawn
nafeel kama nimefall
ikam na sijiwezi no
nafeel kama nimefall
ikam na sijiwezi no
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
alete tuweke tutese
ah naiboi daily ni mimi na wewe
alete tuweke tutese
ah naiboi daily ni mimi na wewe
nafeel kama nimefall
ikam na sijiwezi no
nafeel kama nimefall
ikam na sijiwezi no
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
nimeteleza (slidin slidin, slidin slidin)
Random Song Lyrics :
- flesh - carptree lyrics
- 500 miles - hedy west lyrics
- cut throat - sean quincy lyrics
- lost u 2 the boys - liz lyrics
- fisherman's blues - the waterboys lyrics
- marble men - stem lyrics
- the testimony of the mad arab - celebrant lyrics
- zelda - jerome lyrics
- digital girl - tofuku lyrics
- lil boi mafia - slippy boy lyrics