![lirikcinta.com](https://www.lirikcinta.com/statik/logonew.png)
pesa - naiboi lyrics
ah naiboi ah
mna mambo kweli
kwani boss
(vicky pon dis)
tega sikio nikwambie aah
fungua mlango niingie aah
mambo flani unifanyie aah
nami pia nijiskie aah
kama mapenzi ni pesa, ungesema mapema
hata kama nitakosa ju yako nitakopa
kama mapenzi ni pesa, ungesema mapema
hata kama nitakosa ju yako nitakopa
uhh! niambie niambie
niambie niambie niambie eeh
oh niskie niskie
niskie niskie niskie eeh
kama mapenzi ni pesa, ungesema mapema
hata kama nitakosa ju yako nitakopa
kama mapenzi ni pesa, ungesema mapema
hata kama nitakosa ju yako nitakopa
shika kiti nipe dance eeh
shika kiti nipe dance eeh
shika kiti nipe dance eeh
shika kiti nipе dance eeh
shika kiti nipe dance eeh
shika kiti nipе dance eeh
shika kiti nipe dance eeh
shika kiti nipe dance eeh
tega sikio nikwambie aah
fungua mlango niingie aah
mambo flani unifanyie aah
nami pia nijiskie aah
kama mapenzi ni pesa, sema mapema
hata kama nitakosa ju yako nitakopa
kama mapenzi ni pesa, ungesema mapema
hata kama nitakosa ju yako nitakopa
shika kiti nipe dance eeh
shika kiti nipe dance eeh
shika kiti nipe dance eeh
shika kiti nipe dance eeh
shika kiti nipe dance eeh
shika kiti nipe dance eeh
shika kiti nipe dance eeh
shika kiti nipe dance eeh
Random Song Lyrics :
- občané - ĉiuj intorno a reā lyrics
- cabelo duro - itamar assumpção & naná vasconcelos lyrics
- the hidden face of god - michael card lyrics
- racks & jacks - sectionsmokes lyrics
- perfect - shane nicholson lyrics
- four chords (live in toronto / 2022) - pup lyrics
- cold world - fuego $antana lyrics
- nore - bonus track - karma (fra) lyrics
- julinacht an der gedächtniskirche - dota kehr lyrics
- love don't wait - kasper daylen lyrics