monicah - naiboi lyrics
anytime you want some ulala, hallo
pick*up your phone and call me
nitakam kuzima moto
anytime you want some mulla la, hallo
pick*up your phone and call me
nitakam kuzima moto
anytime, any saa
anytime, any saa
napendwa saa
my baby say she caught on fire yeyeye
fetch me water
kwa macho yake mi ndio, mi ndio msela kakinuka
nikimada nijiekelee
she don’t kiss and tell, she undercover
alafu mabaadae tuko moshi, tuko gauge
ya maji na vodka
monica, umeshika mdundo mpaka siku hizi speaker zinaita
na umesababisha worry
monica, ngozi imelainika tangu uanze zako za america
haters wako funeral
anytime you want some ulala, hallo
pick*up your phone and call mе
nitakam kuzima moto
anytime you want some mulla la, hallo
pick*up your phone and call mе
nitakam kuzima moto
anytime, any saa
anytime, any saa…
napendwa saa
hapa sasa situation me and u, tuseme
na niko so close to you
ningevuta sio tu nivenye
hapa kila mtu na wake ndio tu dore
na sisi vijana wa mtaa
si tukata kamba haikosi
monica, umeshika mdundo mpaka siku hizi speaker zinaita
na umesababisha worry
monica, ngozi imelainika tangu uanze zako za america
haters wako funeral
anytime you want some ulala, hallo
pick*up your phone and call me
nitakam kuzima moto
anytime you want some mulla la, hallo
pick*up your phone and call me
nitakam kuzima moto
anytime, any saa
anytime, any saa…
napendwa saa
Random Song Lyrics :
- on fleek - 24heavy feat. gunna lyrics
- poze - dexa lyrics
- clouds (intro) - reece hughes lyrics
- 777 - miły atz lyrics
- you suck - fl.vco lyrics
- getting closer - lil crazed lyrics
- ночное такси(night taxi) - kallylali lyrics
- azma - emay lyrics
- rapp payback (where iz moses?) (12" version) - james brown lyrics
- channa mereya x rabba mereya - omar esa lyrics