lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

si rahisi - nadia mukami lyrics

Loading...

[intro]
tarara tarara taraaa
ndoto niote eti mimi napepea
maombi mniombe muziki nizidi bombea
hutoweza kurekodi kama huna cha kuwapea
niuze sura nione kama watainunua

[chorus]
si rahisi kwenye runinga na redio zote nivume
si rahisi kwenye twitter waseme kanadia katambe
si rahisi mablogger chocha huyu ndo mwandishi
si rahisi… si rahisiii

[verse 1]
nilifunga safari eti naanza kuimba
nikajiona wa kusifiwa kama papa wemba
ngoma zangu zivuke border mpaka kule pemba
ujumbe nao usikike kote mpaka na wakamba
ilinivunja moyo waliponif-kuza studio nitoke
wakanidharau familia ndugu wa toka nitoke
promoter bandia kunipa show kisha jioni apotee
producer chocha niimbe lingala, nazali nayo mboote
(nayo mbote)

[chorus]
si rahisi kwenye runinga na redio zote nivume
si rahisi kwenye twitter waseme kanadia katambe
si rahisi mablogger chocha huyu ndo mwandishi
si rahisi… si rahisiii

[verse 2]
kwenye industry wanatuchesa, controversy zilete pesa
eti kanadia naye yule, mara nimetemwa vilevile
wengine wavume bila talanta, kwenye picha tako wamekamatwa
jina tupu walishapata, je huu ni ungwana?
eti muziki kizungumkuti
ikinishinda niipige buti
ama nianze kucheza isukuti wee
tena yao beef sijazoeaga
mi ni mpole wananianzaga
eti sanaa nianze kuaga
haya maneno zilizaga

[chorus]
si rahisi kwenye runinga na redio zote nivume
si rahisi kwenye twitter waseme kanadia katambe
si rahisi mablogger chocha huyu ndo mwandishi
si rahisi… si rahisiii

[outro]
ata nikifa leo niwe wa kusifiwa
niliishi kutamani niwe kama miriam makebaaa
si rahisi nisikike, si rahisi nivume, si rahisi nikubalike

[chorus]
si rahisi kwenye runinga na redio zote nivume
si rahisi kwenye twitter waseme kanadia katambe
si rahisi mablogger chocha huyu ndo mwandishi
si rahisi… si rahisiii

si rahisi kwenye runinga na redio zote nivume
si rahisi kwenye twitter waseme kanadia katambe
si rahisi mablogger chocha huyu ndo mwandishi
si rahisi… si rahisiii yeah

sherry yeah, sherry yeah, si rahisi yeah
si rahisi yeah

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...