lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

uhuru - mzungu kichaa lyrics

Loading...

umenibana shingoni
siwezi kupumua
tuliko fika afadhali

tusirudi nyuma
umenibana kifuani
siwezi kupumua
uhuru ume potelea
na siku tegemea
maisha ni uhuru uhuru
uhuru tuna shukuru
pasipo na uhuru uhuru
tuna baki na nusuru
nipo moyo moyo moyo
nipe uhuru
nipo moyo moyo moyo
nipe uhuru
tume toka utotoni
tukawa vijana
tukawa watu wazima
maisha baraka
uhuru uka tawala ahh
uka tu hamasisha ahh
tuka pambana kimaisha ahh
ndoto kutimiza
maisha ni uhuru uhuru
uhuru tuna shukuru
pasipo na uhuru uhuru
tuna baki na nusuru
nipo moyo moyo moyo
nipe uhuru
nipo moyo moyo moyo
nipe uhuru
bila uhuru hakuna maisha
bila uhuru hakuna hamasa
bila uhuru akili ina lemaza
bila uhuru mdege ana nyamaza
maisha ni uhuru uhuru
uhuru tuna shukuru
pasipo na uhuru uhuru
tuna baki na nusuru
nipo moyo moyo moyo
nipe uhuru
nipo moyo moyo moyo
nipe uhuru
nipo moyo moyo moyo
nipe uhuru
nipo moyo moyo moyo
nipe uhuru

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...