wacha marong - mzaga lyrics
ugaza ndio fom seti kindom, wacha marong ukiwa fom kata machok,
zikiwa long za kina shawn na kina (aah).
shika kifom wacha marong, ugaza ndio fom wacha marong,
ugaza ndio fom wacha marong.
ugaza ndio fom seti kindom, wacha marong ukiwa fom kata machok,
zikiwa long za kina shawn na kina (aah).
shika kifom wacha marong, ugaza ndio fom wacha marong,
ugaza ndio fom wacha marong.
niite mzaga mgaza tena sana, juu nikispit itabidii mumeganda,
fom ni ya hatuwachi pa wagaza,
juu niko ndakas mtakula mara saba (ati).
mara saba kama ni dawa, kanda tu mandazi mkidhani ni ujinga,
panda rakataka rakajin nakapanda,
adisia jing na manjoti n*z*mwaga.
kaa ni hongo basi iwe ya power, ukiruka chain nitajua we ni fala,
na ukimiss itabidi umepaka,
bring kadizing na fom siezi hata (ati what).
niko jing mzagazaga, nikitaka nitaget pandisia tu kindeg,
nakadasha nakabet, nikishinda nitazoza, nakaruka nakasapa,
nakataka nakataka, kameweza.
ugaza ndio fom seti kindom, wacha marong ukiwa fom kata machok,
zikiwa long za kina shawn na kina (aah).
shika kifom wacha marong, ugaza ndio fom wacha marong,
ugaza ndio fom wacha marong.
ugaza ndio fom seti kindom, wacha marong ukiwa fom kata machok,
zikiwa long za kina shawn na kina (aah).
shika kifom wacha marong, ugaza ndio fom wacha marong,
ugaza ndio fom wacha marong.
Random Song Lyrics :
- アイノカタチ (ainokatachi) - dempagumi.inc lyrics
- üzgünüm ama üzgün değilim - uec lyrics
- gitchee gitchee goo (flop starz version second time) - phineas and ferb lyrics
- blessings - pluko lyrics
- sarcástico - la abuela disco lyrics
- all i can do - 2ru3 lyrics
- iníquo - cab mc lyrics
- smile - rudi lyrics
- ya me cansé de ti - zayana lyrics
- ke star - focalistic lyrics