lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

njoo kwa mtu mkweli - mwanahawa ally lyrics

Loading...

verse 1
huyo wewe ulonae wala hakustahiki
huyo wewe ulonae wala hakustahiki
bure kupendana nae kujitia kwenye dhiki
bure kupendana nae kujitia kwenye dhiki
njoo kwa akupendae, utoke kwenye khilaki
njoo kwa akupendae, utoke kwenye khilaki

chorus
bure unahangaika, kupenda hajakujua
bure unahangaika, kupenda hajakujua
kwanini unateseka urudi kw*ngu ukapoa
kwanini unateseka urudi kw*ngu ukapoa

verse 2
njoo kwa mtu mkweli, hatojua kukuenzi
njoo kwa mtu mkweli, hatojua kukuenzi
alo na pеndo la ghali lisilo na pingamizi
alo na pendo la ghali lisilo na pingamizi
njoo uingie hali, utoke kwеnye simanzi
njoo uingie hali, utoke kwenye simanzi

chorus
bure unahangaika, kupenda hajakujua
bure unahangaika, kupenda hajakujua
kwanini unateseka urudi kw*ngu ukapoa
kwanini unateseka urudi kw*ngu ukapoa
verse 3
hujaonja ladha yake, hujayajua mapenzi
hujaonja ladha yake, hujayajua mapenzi
hujui haiba yake, siri hujaimaini
hujui haiba yake, siri hujaimaini
shuruti utoke kwake, uje kwa alo mjuzi
shuruti utoke kwake, uje kwa alo mjuzi

chorus
bure unahangaika, kupenda hajakujua
bure unahangaika, kupenda hajakujua
kwanini unateseka urudi kw*ngu ukapoa
kwanini unateseka urudi kw*ngu ukapoa

verse 4
ukijaa utaenziwa kwa utashi na kwa haki
ukijaa utaenziwa kwa utashi na kwa haki
kw*ngu utahifadhiwa na wala sikuepuki
kw*ngu utahifadhiwa na wala sikuepuki
pendo langu la huruwa, sifa yangu sigeuki
pendo langu la huruwa, sifa yangu sigeuki

chorus
bure unahangaika, kupenda hajakujua
bure unahangaika, kupenda hajakujua
kwanini unateseka urudi kw*ngu ukapoa
kwanini unateseka urudi kw*ngu ukapoa

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...