we endelea tu - mwanafa lyrics
fyn by faaalsafa
hook
kwa mungu hakuna majungu mi nna mungu
we endelea tu
kwa mungu hakuna majungu mi nna mungu
we endelea tu
verse i
as you can see i’m ghetto,and fabolous/
hela zinafanya dunia inazunguka let me handle this/
sihitaji beats kutingisha kichwa chako/
naflow tu,kama nna beats za moyo wako/
wakikuuliza naendeleaje waambie vizuri zaidi ya jana/
vizuri zaidi ya wao mungu ana maguvu sana/
miluzi mingi na kubwa la mbwa sipotei/
mipango ya miaka chungu nzima nna dira hunitoi/
yanaitika yakijiskia maisha usiyavalie kikoi/
na sio lazima yakubali kwani unayadai?/
subira haivuti bangi,haigongi nyagi/
inavuta heri tu na haijawahi kubugi/
kilienda kwa mganga na ka unavyoona kimerudi/
hata kama hukipendi kukiheshimu inakubidi/
mbuyu ulianza ka mchicha ila mchicha haujawahi kuwa mbuyu/
skiza waliofanikiwa ongeza zako mbayuwayu/
anayejifanya anakuamua anakushika upigwe babu/
mtie mitama siku nyingine ashike adabu/
kama message siipendi boss namshoot mpaka messenger/
boss namshoot mpaka messenger/
hook
kikontawa,kishua au kimtaa/
ni kucheza na namba namba ka mtu mbaya salaah/
kikontawa,kishua au kimtaa/
ni kucheza na namba namba ka mtu mbaya salaah/
verse ii
tafuta hela za kutosha ila usipige nazo picha/
maisha yanabadilika,kausha ntakufundisha/
pozi za kigoloko lazima zitakufelisha/
amua mwenyewe utazika utasafirisha/
hakuna wa kukupigia ngoma kukwambia kuwa umekua/
miyeyusho ya majuk-mu utakuja tukuombee dua/
utaamka tu unajua kuwa wachawi pia wanafiwa/
hata ukiwa kiboko kuna mahali utazidiwa/
ukiwa mkubwa utataka kuwa kama mimi/
shati navaa la jana ila gari nimebadili/
heshima yako imeenda wapi?heshimu pesa bada ya dini/
kwenu hakuna wakubwa w-ngekuwepo ungeniamini/
mw-nga simpi mtoto alee kwanza namkausha kizazi/
kata sehemu za siri zitupe mto msimbazi/
mi sio mgeni hapa,najua miili inapozikwa/
nna kitabu hapa,najua nini kimeandikwa/
ni rehma za mungu tu,na maamuzi yake tu/
kashaamua alichoamua si ni wake tu/
kisasi hakitanitibu ila na we utakuwa umeumia/
so hata nsipokwambia hivi nio nnavyojiskia/
we endelea tu/
we endelea tu/
we endelea tu/
we endelea tu/
we endelea tu/
Random Song Lyrics :
- lonely2022 - jaisee lyrics
- too true to be good - the robocop kraus lyrics
- like flash - apdavillain lyrics
- no vma’s - april’s abominations lyrics
- casino (no guarantino) - kenneth c m young lyrics
- take your sunglasses - suryeon lyrics
- ук рф (cc of the rf) - by baloo lyrics
- compilation - c dot castro & j. plaza lyrics
- keep breathing** - yasmyn switzer lyrics
- legend kcuh - vangdale lyrics