habari ndio hiyo - mwana fa lyrics
ha, ha, habari ndo hiyo
ha, ha, habari ndo hiyo
ha ha habari ndo hiyo
ha ha habari ndo hiyo
ha ha habari ndo hiyo
ha ha habari ndo hiyo
ha ha habari ndo hiyo
ha ha habari ndo hiyo
kaze ha ha ebanae
naskia harufu ya ankara ankara
kwenye track hii ya hami*b
get money money
make money money money
weka mkwanja kwanza mezani ndo kisha nichane
kisha niwabane kama vipi pisha uone
pumzi ndogo route ndefu wamekwisha kabisa home
janja ka wamegombana sababu ya dem
mzime mkwanja uone palivyo patam
kwani watu tunapiga kazi watu hatutaki makuzi
hapa hakuna mapenzi hapa doz na kazi
chapa mzigo piga mingo bongo mpaka masauz
tuna shine sio kama jana na juzi
ni ay, fa na h [?]
wanabisha kuwana girl wakicheki tunavyo ruma
i wanna kila kitu kina keeping on
imebidi hivyo sio tu kwenye ingine episode
ay, fa tunapiga rap, ragga nairoll
cheza mbali hii ni hatari bla bla bla blo
hamib, saluti, kali hii, kanya hii,
nami ni kama v*o*c*a*l kali
mpaka juu to the g got me
nao wakasema only one me nafanya hivyoo
ha, ha, habari ndo hiyo
ha, ha, habari ndo hiyo
ha ha habari ndo hiyo
ha ha habari ndo hiyo
ha ha habari ndo hiyo
ha ha habari ndo hiyo
ha ha habari ndo hiyo (yes)
ha ha habari ndo hiyo (yes)
mkipigika ndo mpata adabu heshima ndo inarudi
mkiwa nashine hamsemi asante
hamsomi kama inabidi
hamsikii la mnadi swala wala sauti za kanisa
hamsini mn*z*ona nyingi safi mnasettle kabisa
hii so ikama cinema huisha watu uwe wazima
maisha hayana rewind yakisepa ndo ushabuma
usipoteze wakati kutofautisha hivi vitu
tunachofanya si nimziki? sihitaji kundi la watu
usiniite bongo flava j*pokuwa bongo ni yangu
hata kwa beat ya kapuka ntapiga michano ya hip hop
acha kitana changu mbali na nywele zako
we unarasta huhitaji na kinatufaa wenzako
mnaone mamiss kwa kuwamega na kuwamwaga
kisa hawa bongo labda milioni kwa mmoja
ni ordinary people na hawataki ku take it slow
hupanda na kushuka haraka na hawataki kuleta flow
vitu vingi wanavyokopa vimekuepo kwa miaka
magari na harufu ya fedha watakufa wataviacha
ngebe zina mipaka sio kila mahali utaforce
kaburi halina mbwe mbwe ndomana hawaweki ac
ha ha habari ndo hiyo
ha ha habari ndo hiyo
ha ha habari ndo hiyo
ha ha habari ndo hiyo
ha ha habari ndo hiyo
ha ha habari ndo hiyo
ha ha habari ndo hiyo
ha ha habari ndo hiyo
najua nakupa flavour ile unataka
ndomana me nakuona tu unatingisha rasta
pata mistari laini kama ufuta
usijaribu pita mjomba utaibika
najua nakupa flavour ile unataka
ndomana sishangai unapotingisha rasta
pata mistari laini kama ufuta
usijaribu pita mjomba utaibika
yes, yes
these are millitary minds, yeah
kasoro zenye kasoro, jifanye kama unajua
ay, fa, hami*b sawa sawa
you better act like you know
these are millitary mind n*gga
ha ha habari ndo hiyo
ha ha habari ndo hiyo
ha ha habari ndo hiyo
ha ha habari ndo hiyo
ha ha habari ndo hiyo
ha ha habari ndo hiyo
ha ha habari ndo hiyo
ha ha habari ndo hiyo
Random Song Lyrics :
- 我的親人 (unconditional love) - 陳慧琳 (kelly chen) lyrics
- so beautiful, with you - when chai met toast lyrics
- the divine exchange - olaedo ibe lyrics
- ti si bio drugačiji - vera nešić lyrics
- тысячи(thousands) - olvatron lyrics
- black hoodie - dinzeid lyrics
- una storia di sesso - amerigo verardi lyrics
- diggin on me - johnie july lyrics
- i/me/myself (2018 backroom studios demo version) - will wood lyrics
- blues run the game - shannon lay lyrics