lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

usiku na mchana - muki rai lyrics

Loading...

okay

cheki!

[verse 1]
full of myself to some extent yet empty to another
na ata, ningekuwa siafu wewe ndovu bado ningekusho hautoshi mboga
naeza come off ka soft lakini niko na roho ya chuma
materialistic pia, nataka izo kick za puma
ju me ni, product ya mtaa yangu unajua nini kuhusu kidi?
zi, me si babi. me niko rather pockets empty
aspiring millionaire na salo ya elfu ishirini na siku izi, natema sana
nataka iyo jukwaa juu kwa hii sanaa nimebank hope ya kuosa
for now na-chase ancestors
niwaoneshe akiba imeoza
itabaki tumezoea matapeli wanatoka siaka ka jaguar
ni ngumu kujua rada
cheki irony: nataka kufanya mziki kwa fanaka wakati wasanii wanani-inspire w-n-lia ati hawajalipwa
ni ka kuotea kununua cedo na doo ya ku-buy toyota
ma-time sitofautishi kati ya hii ndoto na fantasy
ma-time, me hufeel, disoriented vile success huwa varied
lakini bado huskii me na-embrace authenticity
so me si-take side kati ya eccentricity na conformity
cause tofauti ni ati me naona unifying factors
na ata sir jah anajua nataka kupata purpose
kwa maisha, kushinda ata procreation
sa hizi ni forecast invasion versus procrastination
na sina sense ya direction
sina ramani, dira, ama ata darubini lakini niko na nyaru mbili
so ka meth na red ukiniuliza how high me ntakusho shoulder high ju me si-drive-wi na values
me na-thrive na double standards jo
bado na-wonder whether, kesho jua itatua
lakini n-z-di kusonga ka konokono kwa mvua
for sure naona light, kwa end ya hii tunnel niki-go through turn yangu ya ku-channel dunia

[chorus]
na saa hizi niko shada
plus nimetoa lock na nimetoka kutema jaba
na nimengoja kesho sana karibu nisahau kushukuru mungu kuhusu leo na jana
natazamia matokeo sambamba na ninayotenda. x2

[hook]
oh, usijali usijali me ni mistari nachana
usijali usijali me ni mistari nachana
usiku na mchana, usiku na mchana
usijali usijali me ni mistari nachana. (chana)

[verse 2]
ushaijamia sir godi ju ati time in-z-di kusonga na ni ka we hupati baraka?
me si m-religious per se lakini me ni ka five percenter
na enyewe patience yu-pay lakini pia time ni money we chagua yenye utapenda
me natazamia matokeo sambamba na ninayotenda
angalia hawa, wahuni na ata hawajui kunguni wa ile kitanda nalalia!
hawawezi ni-outsmart maze, me ni g*nius
na nimejuanga hivo ever since nikuwe junior
na saa hizi nia yangu ni kuwa ka juliani
saa hii sinia yangu imejaa biriani
na me hujiskizia sana siwezi kuwa claustrophobic
niko na art form inanipa sense ya belonging
na although saa hii niko into interior decor
me dream home yangu ni kuishi kwa playlist yako
na dream car yangu ni discovery.(mbona?)
huwezi skip steps kwa growing process i guess
huwezi skip steps kwa growing process i guess
huwezi skip steps kwa growing process i guess

chorus x2
hook x2

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...