shash na mashuksha - muki rai lyrics
intro:
muki!
muki, muki!
yeah
yeah
hook:
shashamane na mashuksha, shashamane na mashuksha/
shashamane na mashuksha, shashamane na mashuksha/ [eih]
vile me huchoma, vile me huchoma, hiyo mbishare ni picturesque/
vile me huchoma, vile me huchoma, hiyo mbishare ni picturesque/
shashamane na mashuksha, shashamane na mashuksha/ [eih]
vile me huchoma, vile me huchoma, hiyo mbishare ni picturesque/
shashamane na mashukisha, shashamane na mashukisha/ [we jua]
vile me huchoma, vile me huchoma
hiyo mbishare ni picturesque/
verse1:
manze huskii mimi, a day in my life, haipitangi kabla sijaiva ngwai/
ati bila vela, muki kusurvive, hiyo haiwezekani wallahi billahi/
na kama hii ni ugonjwa, me staki kupona, we pick poison yako, usiniulize why/
nikikuwa lonely au nikiwa lowly
antidote yake hukuwa ni kuget high/
nikiuma ndimu, hiyo state ndo taste ya maisha yangu ustakeonja ladha/
na zangu zikishika, ziukawia kushuka utaganda chini ya ladder ukingoja aliyepanda/
slim ama colo, cone ama king size, yoyote ile, haitajalisha/
la hasha, borake pusha, ameshanijazia mashash kwa bahasha/
eat smoke sleep repeat
smoke eat sleep repeat/
hiyo sasa ndio routine yangu ya daily, hiyo sasa ndio modus operandi/
yangu, tangu, niache kuchoma zile nyaru za arusha/ [eih]
zangu zimekuwa, zangu zimekuwa, [eih] zanguzanguzanguzimezimezimekuwa/
hook:
shashamane na mashuksha, shashamane na mashuksha/
shashamane na mashuksha, shashamane na mashuksha/ [eih]
vile me huchoma, vile me huchoma, hiyo mbishare ni picturesque/
vile me huchoma, vile me huchoma, hiyo mbishare ni picturesque/
shashamane na mashuksha, shashamane na mashuksha/ [eih]
vile me huchoma, vile me huchoma, hiyo mbishare ni picturesque/
shashamane na mashukisha, shashamane na mashukisha/ [we jua]
vile me huchoma, vile me huchoma
hiyo mbishare ni picturesque/
verse 2:
hakunanga swara, mbaya kama kuwa uko na tire lakini hauna nare/
ukikosa kikaka unaezajipata, unagwara mshale kwa chuma ya reli/ [ukweli]
vile me huchoma, vile me huchoma, hiyo mbishare ni picturesque/
vile me hupika, after nimechoma, utadhani hiyo pishori ni ya cateress/ [wah]
ikikuja ni kustack, hiyo ata si task leo me, niko na ndom na indomie/
ikija ni kuset hakuna haja ya kuntest, silo za isiolo ni ka zangu brain cells/
utajikanganya hapo uking’ang’ana, hatuwezi fanana jo me hugo bananas/
no monkey business jo, no jumanji
ata minyoo zinajua vile me hutibu munchies/
nikif-kuza njaa me huchanganya malaji, kitoweo cha mbaazi kikiwa na viazi/
mie huwa nakipenda na chapati na mandazi
vile me hubugia ni kama nikudoea/
saa zile nakaanga mayai me hutia, nyanya na dania ni tabia nimezoea/
na hiyo hapo sasa ndo testimony yangu ya shash na ma shash na ma sha na ma uh/
hook:
shashamane na mashuksha, shashamane na mashuksha/
shashamane na mashuksha, shashamane na mashuksha/ [eih]
vile me huchoma, vile me huchoma, hiyo mbishare ni picturesque/
vile me huchoma, vile me huchoma
hiyo mbishare ni picturesque/
shashamane na mashuksha, shashamane na mashuksha/ [eih]
vile me huchoma, vile me huchoma, hiyo mbishare ni picturesque/
shashamane na mashukisha, shashamane na mashukisha/ [we jua]
vile me huchoma, vile me huchoma
hiyo mbishare ni picturesque/
Random Song Lyrics :
- milagre da flecha - milionário e josé rico lyrics
- courte nuit - moka boka lyrics
- deep down - wind in sails lyrics
- wing$ - akarii lyrics
- next level - serge lyrics
- oha - shaban & käptn peng lyrics
- life - day26 lyrics
- война (voina) - сектор газа (sektor gaza) lyrics
- esto es reggaeton - j alvarez lyrics
- sigara - ferah sebnem lyrics