mbeteka - muki rai lyrics
hook:
chini ya magede, chini ya magede, me niko mbete, me niko mbeteka/
hadi nikafunge, hadi nikafunge mimi siwezitoshe, me siwezitosheka/
chini ya magede, chini ya magede, me niko mbete, me niko mbeteka/
hadi nikafunge, hadi nikafunge mimi siwezitoshe, me siwezitosheka/
verse:
niko na beef na destiny, [destiny] nangoja ku-bury hatchet [hatchet]/
kabla me nikick bucket, [bucket] kabla niekwe kwa casket [casket]/
kwa sasa nimekuwa ratchet, [ratchet] nikiosha, vyombo/
na sabuni, ya kuoga, na pia tabia zingine ka vice versa/
hapa tu chini kwa food chain, [food chain] mr.manservant [servant]/
hadi nkaona uchochole itanigeuza wazimu, inabidi nido chochote niingize kakitu/
system inadhulumu mse imenilazimu, ole wako tukikutana ka tuko mavitu/
niko na mkono mrefu na imeshika mguu ya kuku, oh, usifanye iwike hapa zile za kukuriku/
onomatopoeia matopeni, kelele iskike mpaka kaloleni/
tukipatana mtaani ukiwa na pori ngori, we jua tu ni ngori pori na iyo sio story /
homie jo sorry sorry, kesi baadae buda kesi koti maanake time ni money/
sarafu noti me nasaka karatasi, ila sina kandarasi, rasmi/
so utanipata kazi, kazi, niking’ang’ana ni kama kila saa ni kiangazi me nachangish cheki eh! /
me nachangish changish changish cheki, toa kila kitu ebu toa kila kitu/
samahani, sikuwai, mradi genje nigey tenje/
na walenje, ama baadaye itakuwa tu ni kesi stenje mse kesi stenje/
hook:
juu apa chini ya magede, chini ya magede, me niko mbete, me niko mbeteka/
hadi nikafunge, hadi nikafunge mimi siwezitoshe, me siwezitosheka/
chini ya magede, chini ya magede, me niko mbete, me niko mbeteka/
hadi nikafunge, hadi nikafunge mimi siwezitoshe, me siwezitosheka/
Random Song Lyrics :
- hold me - transit22 lyrics
- 20 mesures - l'architexte lyrics
- régi indulat - bonanza banzai lyrics
- stuck in hell - ace d lyrics
- nie oddamy im krwi - glaca lyrics
- perdón - tortu aka don miguel lyrics
- deliverance to life - omen of eternity lyrics
- use me - yungeen ace lyrics
- musica del silencio / above & below - shimshai & susana lyrics
- i love the smelly feet - submarine man lyrics