fisi - muki rai lyrics
[hook]
rest in peace luther vandross
lakini me si alejandro, ah, yeah, na
ukitaka ntakupa d for l, d for l msupa d for l
ukitaka ntakupa d for l, d for l ah
kwa hivyo shake your laffy-taffy, me si mtu ma lovey-dovey
ah, at least not for now cutie, at least not for now me ni-
-takutafuna mifupa
nikubakishe knee caps, msupa, me ni fisi, me ni fisi
[verse 1]
kunihusu mimi kuna kitu fishy ila sio siri, me ni fisi
ukinivisit ni cl-ss ya physics, yaani friction na gyration
expansion kisha contraction tukimaliza session utadai recession
yaani half-time, kisha rematch. utatamani sana kuwa wifey
w-ngu juu boyfie, wako ni mismatch. mismatch ila me nitaku-dispatch
oh me ni r-t-rd, i meant discard, usingoje gift card, kutoka kw-ngu
ama kitu kama marriage proposal cutie
at least not for now mimi kitu ntaku-promise
ni promiscuity, indiscreetly, juu over and above mimi kukuwa na libido
msupa niko na ding-dong ka d-ld-, black d ka ya ringo-mandingo
na maybe ukiicheki utapuuza maringo oh baby usisleki, oh babe acha hizo
kuja tu tu-have fun
lakini iwe tu ni casual
casual? casual
[hook]
rest in peace luther vandross
lakini me si alejandro, ah, yeah, na
ukitaka ntakupa d for l, d for l msupa d for l
ukitaka ntakupa d for l, d for l ah
kwa hivyo shake your laffy-taffy, me si mtu ma lovey-dovey
ah, at least not for now cutie, at least not for now me ni-
-takutafuna mifupa
nikubakishe knee caps, msupa, me ni fisi, me ni fisi
[verse 2]
kuna b-tch alinisho chivalry ni bullsh-t, na, nilikuwa namkatia
sikujua hakuna venye ananitakia
so, niliwaste time yangu, nikiinvest emotions zangu
oh, ole w-ngu. i wish ningejua, ya kwamba alikuwa, na roho ya chuma
heartbreaker niliregret later, after hapo sasa ndio mimi nikaamua
bullseye yangu ni vesica pisces, p-ssy, sio siri
me ni m-nasty f all other niceties, na kwa hivyo sasa unafaa kuambia
feminists me si misogynist me si m-chauvinistic, actually
me ni more realistic unlike s-d-stic
punguza involvement
ongeza reservations, yeah, b-tch, yeah
punguza expectations
ongeza limitation, yeah, yeah
[hook]
rest in peace luther vandross
lakini me si alejandro, ah, yeah, na
ukitaka ntakupa d for l, d for l msupa d for l
ukitaka ntakupa d for l, d for l ah
kwa hivyo shake your laffy-taffy, me si mtu ma lovey-dovey
ah, at least not for now cutie, at least not for now me ni-
-takutafuna mifupa
nikubakishe knee caps, msupa, me ni fisi, me ni fisi
Random Song Lyrics :
- jonerst - nostalgia - jonerst lyrics
- killing me softly with his song - 笠井紀美子 (kimiko kasai) lyrics
- imposing will - nails (grindcore) lyrics
- rise above - steignyr lyrics
- sd card - ☆ scorpio shawty ☆ lyrics
- lundi - jabx3 lyrics
- oppressé - boris levrai lyrics
- на забутій всіма хаті (at the house forgotten by everyone) - stas azarenko lyrics
- солодко (sweet) - stas azarenko lyrics
- dripx5 - gameboyjones lyrics