sawa - muhanjii lyrics
yeahh sawa muhanji muhanjii geniuous me nasadiki mahali nmefika oh my
siamini amina homework me nafanya bila hits yah me niko na bets ka
leather kila kitu ka vendor siku hizi wamewacha kunilenga kusema
ukweli mungu w-ngu amenifavour eish up and above ka mvua eish pieces
of men me navua eish son the king me jua eish wacha nikusho
bara-ra-ka nilipanda me navuna-na da-da-da kaa-ka-ka me niko pesa
wawawa kufast na kupray ilikua fiti sana ni wee pekee ulinimake fiti
bana me niko sawa squadi iko sawa life iko sawa kwa mungu ni
sawa me niko sawa squadi iko sawa life iko sawa kwa mungu ni sawa…
sawa sawa sawa me niko sawa(×3)
me ni ka mboga fresh niko na buzz gazeti cheki nabreathe pumwani niko
kwa church nachill niko na buzz kuk!ll me niko na rende niko na geng
geng ukweli nitatema ching ching beng beng mimi na yeye yeye na wewe
vitu me nasema ni favour ukweli ni genje eish ameniosha amenijenga
cheki me hubonga yeye yesu milele eish ningeua track lakini nagive
life mamiti zei jaba zote zii anasa ngwati sponsa zote zii
mapenzi ukweli imani niko na ndimu ni sawa mimi na yesu ni sawa…
me niko sawa squadi iko sawa life iko sawa kwa mungu ni sawa…
sawa sawa sawa me niko sawa(×3)
niko mandimu (sawa) mungu pekee(sawa) dhambi kuoshwa (sawa) napendwa
msee (sawa) (×2) kama kawa kama dawa mungu pekee ndio sawa (×4)
me niko sawa squodi iko sawa life iko sawa kwa mungu ni sawa…
sawa sawa sawa me niko sawa (×4)
Random Song Lyrics :
- tv - ivan graziani lyrics
- deryalar - arif şentürk lyrics
- sweetest thing - orion sun lyrics
- as long as we're alive - jkelmusicofficial lyrics
- set me free pt.2 (romanized) - jk & jimin lyrics
- song battle - various artists lyrics
- sí, tú - 40 gramos lyrics
- lula kali yuga - warrior of brazil lyrics
- sex cells - unotheactivist lyrics
- finale - from here to eternity: the musical original london cast lyrics