wess(bounce) - muddah lyrics
[mw-ngi]
well it’s 7:47pm, coming to you live from nairobi kenya, introducing, from lifetime music; muddah. the ariff master, sheng rapper, swahili banter… the boy wonder
[hook: muddah]
mi na bounce
leo tunaroria halla wess joh tu bounce
form kama kawa huw-nga lejo na ma ounce
hii ngoma si ni noma we tu skiza uki bounce
hii beat ina bounce
nipate two-three na ma goons tukibounce
magova wakitokea si ni obvious tutabounce
so si hucheza low key ka kamisi chini ya blouse
[verse 1: muddah]
cheki, najichocha juu i know am next
muddah muddah niko fresh bado si tambui ma twelve
vile na flex nakuja correct ju ya beat na mada ma vet
hakuna ku dance, tingisha mambichwa tukirollingi ma jet
na, hii fom si ngori
nadai mandovu na si wanyama wa pori
ndio ni punguze maswara ndani ya pori
fom ni ganji ka ni monkey mi hunioni
[hook x2]
[verse 2: muddah]
na ctajawai tembeanga joh nikiji announce
cjawai jichocha nkiwa kati kati ya ma clowns
nkiwaona hao watiaji ndole biggi ju ya clouds
na hii ni ya wale hupenda vile mi huw-nga na sound
so mi nabounce vile na feel bruh
hii life ni fupi wacha chuki ishi free bruh
so we jichoche vile unajua
mungu pekee anaeza ni stop hio niko sure
[hook outro]
Random Song Lyrics :
- rally code - maestrong, plimmo & squrlxxx lyrics
- cantoria - quarteto em cy lyrics
- излучают насилие (spread violence) - mark shivá lyrics
- coco chanel* - destroy lonely lyrics
- как дела? (how are you?) - телепорт (teleportmusic) lyrics
- mshoza - soul brothers (zaf) lyrics
- qatilana - veerey tekam lyrics
- napoli madrid - almighty brian lyrics
- loudpack - smokingxallday lyrics
- мотивы (prod. by kika) - tychism lyrics