aki ya nani - muddah lyrics
[intro]
its muddah right here
yea yea
aki walai!
[verse 1]
nafeel fresh aki ya nani
so tell me rada ni gani
na ever since i’m wavy kama tsunami
na two three ndio mtaani
aah, aki nani
hawa ni akina nani
nani? nani alisemanga ati muddah ni mbleina flani?
i’m on a roll na sai na get hii money
ata uhate aje stawai acha kuishi na amani
na aki ya nani muddah muddah mi ndio ish
na samahani buda kama hufeel hii sh-t
ma shashamani kejani ndio huw-nga steam
and i’m here to run it from ungem to palestine
na still me husteal shows
na fom kuwa dethrone
of course ni cross
uwone vile ntaku distort
na mi ni gas wasee ka kriss ni ka stove (kristoff)
ngoja they ain’t ready for the boy
[chorus]
looku mbaya from head to toe aki ya nani
na ni lazima ni get hii doh aki ya nani
sitambui vitisho aki ya nani
me and my hommies we stay fresh
aki ya nani x 8
[verse 2]
aki ya nani i’m here to run it nilishakusho
mafala flani hawaezani na hawanitishi joh
eeh , na muddah muddah hapa mi ndio don
ngoja, na ka si ganji unanisho?
mwendo wa kasi niko slow
nliingia ndani ya fani stoned
hatupendi ma afandi noo!
nkiwaona mi hupiga ma chuom
chaser hatupigi na chrome
i like it when s-xy and grown
my life i put it on god
eih, yea sipendi ma thot
(amen amen..)
na aki ya nani i got hoes ka mswati
slim and thick wengine tu katikati
na hizo fom za kiboree mi haunipati
na huwa sidungi man ka si safi
aah, huwa sidungi ka si safi
nafsi yangu huru sipendi sarakasi
ooh my lord have mercy
mi nijenge tu ki beamer na maganji
[chorus]
looku mbaya from head to toe aki ya nani
na ni lazima ni get hii doh aki ya nani
sitambui vitisho aki ya nani
me and my hommies we stay fresh
aki ya nanix8
[outro]
yea, aki ya nani
kwanza nashukuru manze mungu alitukufia msalabani
and am outchia man
nadai hii money
nadai kimlami
nadai keja lavi
nadai, uuh kila kitu yaani
its two three
lets get it yea…
Random Song Lyrics :
- blessings - dapo marino lyrics
- if it ain’t broke (break it) - mike vogel lyrics
- waiting for me - danny vera lyrics
- my legionnaire - ellen foley lyrics
- change - liger lyrics
- 있어줘 (be with me) - gram (kor) lyrics
- akaboomer - akaparson lyrics
- tingel-tangel-tingel-tambourin - danny mann lyrics
- gone - farewell to fear lyrics
- casi leo - shanti bustos lyrics