
venge - mtakatifu lyrics
[chorus]
even though, revenge hua haina starehe
ata ufanye nini siwezi try kukusamehe
hakuna cha mbang’a, hakuna kiawa
hakuna cha survivor rada nik*malizana
(even though)
even though, revenge hua haina starehe
ata ufanye nini siwezi try kukusamehe
hakuna cha mbang’a, hakuna kiawa
hakuna cha survivor(hahaa) rada nik*malizana
[verse 1]
slap ya kwanza(hahaa) nongwe ishameza taxin(woo!)
slap ya pili isha offer hadi bibi(what the f*ck?)
slap ya tatu shtua, kanyaga sokwe na kiatu(timberland)
alafu saa tuongee mathafu
first mistake
mali tulipona safe
kugawana
ukajiona weh ndio msee
mihadarati
zikakushow staeza ku trace
and exactly *
that’s how it almost went
[chorus]
even though, revenge hua haina starehe
ata ufanye nini siwezi try kukusamehe
hakuna cha mbang’a, hakuna kiawa
hakuna cha survivor rada nik*malizana
(even though)
even though, revenge hua haina starehe
ata ufanye nini siwezi try kukusamehe
hakuna cha mbang’a, hakuna kiawa
hakuna cha survivor rada nik*malizana
[verse 2]
gun point, saa tuko on the same page
shut the f*ck up, and humble thyself
hodi kwa mlango karibuni familia
hakuna mambo, me naitwaga uncle
kaeni apo kando, simu zote nipatiwe
aka ka lastborn, kapelekwe upstairs
dakika ni tano, ama daddy aonje copper
mjifungie apo, niongee na wazazi wako
[chorus]
even though, revenge hua haina starehe
ata ufanye nini siwezi try kukusamehe
hakuna cha mbang’a, hakuna kiawa
hakuna cha survivor rada nik*malizana
(even though)
even though, revenge hua haina starehe
ata ufanye nini siwezi try kukusamehe
hakuna cha mbang’a, hakuna kiawa
hakuna cha survivor rada nik*malizana
[verse 3]
waah uyu ndio bibi uli offer?
enyewe wewe ni lofa
pesa zinafichuliwa kona lipi?
masaa ni ya kugawa riziki
gold kwanza nadai kilo kaa sixty
na sidai kuskia ati nini
mama watoto kajaze hii bag
c*cked my gun mjue niko serious
[chorus]
even though, revenge hua haina starehe
ata ufanye nini siwezi try kukusamehe
hakuna cha mbang’a, hakuna kiawa
hakuna cha survivor rada nik*malizana
(even though)
even though, revenge hua haina starehe
ata ufanye nini siwezi try kukusamehe
hakuna cha mbang’a, hakuna kiawa
hakuna cha survivor rada nik*malizana
[verse 4]
matha watoto
k*mbe ako idhaa na why lie?
si kame ivaa ashatoa mchuma
akaktsia budaa wa nyumba
akaita wakidi wanifwate nyuma
wachaneni na ule zubaa *
say hi to your new daddy
of course
i can’t mind this kuwa adopt juu ata ile nyumba ingine ni bwaku
even though…
Random Song Lyrics :
- jack de la tourette, pt. 2 - jack uzi lyrics
- hookdiggy - curtain open - hookdiggy lyrics
- theodore montero (single) - bronxhalo lyrics
- danger - kwe the artist lyrics
- gəl gedək - h.o.s.t. alliance lyrics
- vete de mi vida - joaquin guiller lyrics
- hold on tight - mcjeam ariexs lyrics
- envy baby - sati akura lyrics
- mit dem herzen (pastiche/remix/mashup) - chilli vanilli 2 lyrics
- 10 15 30 - yaledennis lyrics