siamini - msomali lyrics
siamini * msomali
eti mama ningependa uwe w*ngu wa maisha
ila ghafla umezira umeondoka
ningependa uwe w*ngu wa maisha
ila ghafla umezira umeondoka
ina maana unitaki tena (unitaki tena)
unipendi tena (unipendi tena)
ina maana unitaki tena (unitaki tena)
unipendi tena (unipendi tena)
hivi kweli siamini ni mimi
ameniacha nipo jangwani
hivi kweli siamini mwezenu mimi
kwenye mapenzi nimekosa nini
kama ungekuwa hutaki ungesema
umenipa ukilema
kama ungekuwa hutaki ungesema (ungesema)
umenipa ukilеma (umenipa ukilema)
mwenzako nachеchemea sina pakuegama
na mengi umeniongopea (umeniongopea)
mwenzako nachechemea sina pakuegama
zuwena umeniongopea (umeniongopea)
ina maana unitaki tena (unitaki tena)
unipendi tena (unipendi tena)
ina maana unitaki tena (unitaki tena)
unipendi tena (unipendi tena)
mi sitaki hata kusikia, mapenzi gharama weeh
sisikii la kuambiwa, mapenzi gharama weeh
mi sitaki hata kusikia, mapenzi gharama weeh
kaa chini nitakuadithia, mapenzi gharama weeh
nikizipata mitungi nitamwagilia moyo
nikizipata mitungi nitamwagilia moyo
eti mama
nikizipata mitungi nitamwagilia moyo
mimi mwezenu
nikizipata mitungi nitamwagilia moyo
msomali hapa
Random Song Lyrics :
- the entrance - john lucas lyrics
- where is my mind - anabel englund lyrics
- human chop shop - waking the cadaver lyrics
- she'll be gone - ian & sylvia lyrics
- ren and nana - jammy (hyperpop) lyrics
- not the same - izza gara lyrics
- 君ストライプ [kimi stripe] - oreskaband lyrics
- lara croft - pk shellboy lyrics
- cry again - adán cruz lyrics
- catoye vs domwiz - domwizcatoye lyrics