lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

raha ya tunda - msomali lyrics

Loading...

j4d sound
aahh vitamini oooohh
adasco mtu mbaad

ohh
raha ya tunda nikupe unipe mi
mapenzi hayataki karaha
najua unanipenda mimi mwenzio
nina sikia rahaa
raha ya tunda nikupe unipe mi
mapenzi hayataki karaha
najua unanipenda mimi mwenzio
nina sikia rahaa
raha ya tunda nikupe unipe mi
mapenzi hayataki karaha
najua unanipenda mimi mwenzio
nina sikia rahaa
raha ya tunda nikupe unipe mi
mapenzi hayataki karaha
najua unanipenda mimi mwenzio
nina sikia rahaa

aahhh mama weee onaaa
haya mapenzi yanafanya na nenepa kishenzi
mwezenu mi napendwa
nitaachwa kama mungu akipenda
mwezenu mi napendwa
nitaachwa kama mungu akipenda
kwa sasa nipo kwenye huba zito
naongezeka uzito nipo kwenye zitooo ohoo
ona amenipenda
mi natabia zangu na umalaya w*ngu
na skendo zangu
mwezеnu amenipenda
mi natabia zangu na umalaya w*ngu
na skendo zangu
baby nikachakarikе nije tule vizuri ohoo
kipenzi nikapagawise
tuje tule vizuri ooh
mimi na wewe
mimi na wewee ehh
kipenzi nikachakarike nije tule vizuri ohoo
baby nikapagawise
nije tule vizuri ooh
mimi na wewe
mimi na wewee ehh
raha ya tunda nikupe unipe mi
mapenzi hayataki karaha
najua unanipenda mimi mwenzio
nina sikia rahaa
raha ya tunda nikupe unipe mi
mapenzi hayataki karaha
najua unanipenda mimi mwenzio
nina sikia rahaa
raha ya tunda nikupe unipe mi
mapenzi hayataki karaha
najua unanipenda mimi mwenzio
nina sikia rahaa
raha ya tunda nikupe unipe mi
mapenzi hayataki karaha
najua unanipenda mimi mwenzio
nina sikia rahaa

mama wewe
ah
raha ya tunda nikupe unipe mwenzioo
nikupe unipe nisusie
nikupe unipee
ona raha ya tunda nikupe unipe mwenzioo
nikupe unipe nisusie
nikupe unipeee
bora nisusie nikunjie nipatie (nisusie nipatie)
usimpe mtu iyo ya kw*ngu miee (iyo ya kw*ngu miee)
bora nisusie nikunjie nipatie (nisusie nikunjie)
usimpe mtu iyo ya kw*ngu miee
iyo ya kw*ngu miee
iyo ya kw*ngu miee
iyo ya kw*ngu miee
iyo ya kw*ngu miee

baby nikachakarike nije tule vizuri ohoo
kipenzi nikapagawise
nije tule vizuri ooh
mimi na wewe
mimi na wewee ehh
kipenzi nikachakarike nije tule vizuri ohoo
baby nikapagawise
nije tule vizuri ooh
mimi na wewe
mimi na wewee ehh

raha ya tunda nikupe unipe mi
mapenzi hayataki karaha
najua unanipenda mimi mwenzio
nina sikia rahaa

raha ya tunda nikupe unipe mi
mapenzi hayataki karaha
najua unanipenda mimi mwenzio
nina sikia rahaa
ahh vitamin yooooo
wee
amenipenda
mi natabia zangu na umalaya w*ngu
na skendo zangu
mwenzenu amenipenda
mi natabia zangu
na umalaya w*ngu
na skendo zangu

mtu mbaaad

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...