neema inatosha - mr seed lyrics
[intro]
emb records (ah!)
bada bang bang!
mmh, mr seed again
mr seed again, yo
oh oh aah aah
oh oh aah aah
oh oh aah aah
shallz baro on the beat, yo
[verse 1]
nimetoka east most beloved (mmh)
ni neema inatosha
nikiimba ni shuhuda mi’ natoa eeh eeh (mmh)
ni neema inatosha
l-o-v-e y-o-u
god ananipa my every night and day
coz you de’ make me to feel alright
bada bang bang!
[chorus1 ]
wacha nikuambie brathe
huyu god mi’ siwezi msare
akiniita mi’ na-run kama mkale
najua ana-come tu someday
vile unaona mi’ nang’ara kama jua
ni neema inatosha
kuwe na ukame ama kuwe na mvua
ni neema inatosha
yay, whoa, yay
ni neema inatosha
yay, whoa, yay
ni neema inatosha
[verse 2]
hizi madinga: range-rover, bima (mmh)
ni kwa neema amenipa
leo huenda huna kesho watafuta (mmh)
na kwa neema itafika
usife moyo ng’an’gana
mungu wetu ni ndio tena, amen
na magoti piga sanana
ukimuomba mungu, amen
l-o-v-e y-o-u
god ananipa my every night and day
coz you de’ make me to feel alright
[chorus 2]
vile unaona mi’ nang’ara kama jua
ni neema inatosha
kuwe na ukame ama kuwe na mvua
ni neema inatosha
yay, whoa, yay
ni neema inatosha
yay, whoa, yay
ni neema inatosha
oh oh aah aah
oh oh aah aah
oh oh aah aah
[chorus 3]
wacha nikuambie brathe
huyu god mi’ siwezi msare
akiniita mi’ na-run kama mkale
najua ana-come tu someday
oh oh aah aah
oh oh aah aah
oh oh aah aah
ni neema inatosha
vile unaona mi’ nang’ara kama jua
ni neema inatosha
kuwe na ukame ama kuwe na mvua
ni neema inatosha
yay, whoa, yay
ni neema inatosha
yay, whoa, yay
ni neema inatosha
yay, whoa, yay
ni neema inatosha
yay, whoa, yay
ni neema inatosha
Random Song Lyrics :
- icarly! - lieu lyrics
- 廢話 (fai3 waa2) (簡體字/simplified characters) - 麥浚龍 & 謝安琪 (juno mak & kay tse) lyrics
- troppo figo per camminare (swag pigro) - bello figo lyrics
- reasons - ché noir lyrics
- deidad - internet trash gang lyrics
- something really true - stonekeepers lyrics
- toxic - lonely rari lyrics
- wil je dansen met mij - clean pete lyrics
- jeepers rubicorn - gigi lamayne lyrics
- when you're dreaming - finnstagram lyrics