tabasamu - mr. bluetz lyrics
[intro – steve rnb]
hey hey heyyyy
heyyyy mhhhh
[chorus – steve rnb]
tabasamu nipate furaha
usiwe unanuna baby, usiwe unauchuna wewe
tabasamu nipate furaha
usiwe unanuna baby, usiwe unauchuna wewe
[verse 1 – mr blue]
game kushuka na kupanda
jana tumeshuka, cheki leo tumepanda
tumepata idea ya kusambaza kanda
nimepata shows za kenya na uganda
burundi na rwanda
twende pamoja twende tukasake chanda
mungu akijalia wanazuia kibanda, namiliki kiwanda
tuko pamoja si ungefunga mkanda
yote kwa sababu, nipe tabasamu
tumechoka mitabu hii ndo time ya vitamu
unapendaga club, unamk*mbusha lam
after two weeks turudi dar es salaam
tumetesa sana baby (sana, sana)
vibaya ukinikana baby (uh uh)
kuniona sina maana baby (uh uh uh uh uhhh)
baby, toka mchana alfajiri
chini utajiri, fake mpaka real
mapen zi sio siri
au kwa kuwa tuko wawili, mapenzi ndo ukaona siri?
kama mabaya yanasemwa kila siku, daily
wazushi nao hawaishi bifu
maisha sio kutеsa kila siku
j*po pesa ndo kila kitu
[chorus – steve rnb]
tabasamu nipate furaha
usiwe unanuna baby, usiwе unauchuna wewe
tabasamu nipate furaha
usiwe unanuna baby, usiwe unauchuna wewe
[bridge – steve rnb]
cheka kidogo ni wewe baby
nione tabasamu lako girl
mi naridhika, nafarijika
ukinuna utaniumiza roho
cheka kidogo ni wewe baby, oh
mi naridhika, nafarijika, yeah
tabasamu, tabasamu
baby, baby
[verse 2 – mr blue]
i say weka amazing smile wacha mi nisebenze
achana na hao wanaosubiri niteleze
boogie nami superstar tingisha hizo wezere
(wezere) wezere, (wezere) wezere
wakibana bongo twenzetu kwa madebe
twende club zao twende tukaruke debe
sikia hisia zao sio hisia ka za reggae
nawapiga bao wakijirudi kama chege
achana na w*nga, w*nga zao ni kutaga
mitaa ya upanga kule wanauza burger
wanacheza charanga, unacheza ragga
hisia za kimanga, sina hisia za kichaga
basi baby si ungecheka kidogo
hujui smile lako linaua mpaka vigogo
halafu huko nature wala hutumii mkorogo
pande za masaki mpaka pande za kigogo
wamekutaka hawajakupata hata kidogo
wakina roma k, abuu na shebi chogo
hawajakupata hata kidogo
haja*haja*hauja…
blue vipi, mbona sikusikii tena?
sikusikii uki*flow, mbona sikusikii usema?
niko busy na baby jamani nishasema
niko busy na wife jamani nishasema
mabaya yanasemwa kila siku
wazushi nao hamuishi bifu
maisha sio kutesa kila siku
j*po pesa ndo kila kitu
[chorus – steve rnb]
tabasamu nipate furaha
usiwe unanuna baby, usiwe unauchuna wewe
tabasamu nipate furaha
usiwe unanuna baby, usiwe unauchuna wewe
Random Song Lyrics :
- cold as a fridge - gar greatest at rapping lyrics
- yodelay* - trifedrew lyrics
- tylenol - tracysfuneral lyrics
- blasted - saimalik777 lyrics
- boom bap sessions #1 - harun adil lyrics
- takten av lyset - damian (no) lyrics
- life - garsabrian lyrics
- panaginip - iluna (phl) lyrics
- different - b2nny lyrics
- nds 4 - azatro lyrics