lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mapozi - mr. bluetz lyrics

Loading...

[verse 1]
nifanye nini ili unielewe?
nikupe nini ili niwe na wewe?
au majumba ya kifahari
ili twende home tukajivinjari
unajua sababu sina pesa
ndo dhumuni la kunitesa
unajua sababu sina pesa
ndo dhumuni la kunitesa
basi nieleze kabisa, kwamba ntapata au nitakosa
uje unieleze kabisa, kwamba ntapata au nitakosa
oh ooh, au uje unieleze labda mimi sifai
au uje uniambie

[chorus]
nataka nielewe wapi umejifunzia mapozi (mapozi)
ili nipate tambua unapojifunzia hiyo course (hiyo course)
maana nikifikiria huwaga natokwa machozi (machozi)
au sina hadhi ya kuwa wako mpenzi
basi nieleze usinifanyie mapozi

(mapozi nawe, we na mapozi nawe) x8

[verse 2]
nikilala sipati usingizi
nikifikiria natokwa na machozi
basi laazizi usiniletee mapozi
nsijekufa sababu ya mapenzi
najaribu kukuacha siwezi
kwenye mapenzi labda umeniwekea hirizi
najaribu kukuacha siwezi
kwenye mapenzi labda umeniwekea hirizi
basi nieleze nsije nkapata uchizi
nkajakufa sababu ya mapenzi
uje unieleze nsije nkapata uchizi
nkajakufa sababu ya mapenzi
oh ooh, au uje unieleze labda mimi sifai
au uje uniambie

[chorus]
nataka nielewe wapi umejifunzia mapozi (mapozi)
ili nipate tambua unapojifunzia hiyo course (hiyo course)
maana nikifikiria huwaga natokwa machozi (machozi)
au sina hadhi ya kuwa wako mpenzi
basi nieleze usinifanyie mapozi

(mapozi nawe, we na mapozi nawe) x8

[verse 3]
ni neno moja ndo nalotaka tu
unanipenda, haunipendi basi nijue moja tu
kuliko kulia na mapenzi daily
kuja home kwenu kupiga misele
wakati we umeweka pesa mbele
au sina hadhi? niambie tu
kisa sina kazi ndo unitese du
ah, ruksa mami tukapime hiv
vuta ndani njoo tuset vip
basi cheka tena nione zako dimples
sura nzuri mamii haina hata pimples
nini unataka zaidi ya penzi?
mikoko boma ya bima na benz
no leta hapa mambo ya kishenzi
nachohitaji tuwe close, uwe w*ngu mpenzi
[chorus]
nataka nielewe wapi umejifunzia mapozi (mapozi)
ili nipate tambua unapojifunzia hiyo course (hiyo course)
maana nikifikiria huwaga natokwa machozi (machozi)
au sina hadhi ya kuwa wako mpenzi
basi nieleze usinifanyie mapozi

(mapozi nawe, we na mapozi nawe) x8

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...