jina lake yehovah - moses tsuma lyrics
(moyo w*ngu mjue muumba wakooo) jina lake yehovah
(kila siku muabudu yeyeeee) jina lake yehovah
(ukiamka mushukuru yeyeee) jina lake yehovah
(unapolaa mtukuze yeye moyoo) jina lake yehovah
(moyo w*ngu mujue muumba wako) jina lake yehovah
(kila siku muabudu yeeeeye..eee) jina lake yehovah
(ukiamka mushukuru yeye moyo) jina lake yehovah
(unapolala mtukuze yeyeee.e..eee) jina lake yehovah
(yeye ndiye aliye kuumba mooyo ..ooo) uuuu…uuuu…uuuu
(akakupa kuishi kwa rehema zakeee) uuuu…uuuu…uuuu
(akakuepusha na maovu ya dunia..aa) uuuu…uuuu…uuuu
moyo we, moyo mwabudu yesuu..moyoo) uuuu…uuuu…uuuu
(yeye ndiye anaye kulinda wewee moyooo) uuuu…uuuu…uuuu
(moyo w*ngu mjue muumba wakooo) jina lake yehovah
(kila siku muabudu yeyeeee) jina lake yehovah
(ukiamka mushukuru yeyee moyoo) jina lake yehovah
(unapolaa mtukuze yeye) jina lake yehovah
(moyo waaangu mujue muumba wako) jina lake yehovah
(kila siku, kila siku muabudu yeeeeyee moyo) jina lake yehovah
(aa..unapoamka mushukuru yeyeee moyo) jina lake yehovah
(iiii…unapolala mtukuuuuze) jina lake yehovah
(chuchu chuchu chuuchu wacha moooyo) uuuu…uuuu…uuuu
(tamaa za mwili wacha moyo weweeee) uuuu…uuuu…uuuu
(dhambi na mambo ya kufisha wachaaa moyoo) uuuu…uuuu…uuuu
(muogope mungu kila sikuuu moyoo) uuuu…uuuu…uuuu
(muche mungu wako, siku zako zooote) uuuu…uuuu…uuuu
(yeye ni bwana aliye kuuumba moyoo) uuuu…uuuu…uuuu
(aliye kutooa kwenye dhaaaambiii moyoo) uuuu…uuuu…uuuu
(unapomuishia furaha yangu miiimi moyo) uuuu…uuuu…uuuu
(moyo w*ngu mjue muumba wakooo) jina lake yehovah
(kila siku muabudu yeyeeee moyooo) jina lake yehovah
(ukiamka mushukuuuru yeeye) jina lake yehovah
(unapolaa mtukuze piia moyoo) jina lake yehovah
mungu wa miungu
(ooo..ooh) mfalme wa wafalme
(ndiye bwana wako moyo) jehovaaah jireh, ebenezer
(ndiye muumba wako moyoo) mungu wa miungu
(ndiye aliye kupa nguvu) mfalme wa wafalme
(eeei..mooooyo) jehovaaah jireh, ebenezer
(nani anayeweza) mungu wa miungu
(nani anayeeponyaa) mfalme wa wafalme
(mungu mwemaaa) jehovaaah jireh, ebenezer
(mfalme mwenye nguuvu) mungu wa miungu
(baba w*ngu mimi) mfalme wa wafalme
(anayenilinda na kunipa baraka) jehovaaah jireh, ebenezer
(mungu wa miuuungu) mungu wa miungu
(mfalme wa wafalme) mfalme wa wafalme
(yeele..eee..ee..eee) jehovaaah jireh, ebenezer
Random Song Lyrics :
- gone in the morning - etham lyrics
- say it to me - ryan lofty lyrics
- chwała mordercom wojciecha (997–1997 dziesięć wieków hańby) - behemoth lyrics
- amanda - varsity (band) lyrics
- left a brick 4 shorty - mackned lyrics
- ride with you - sigurd hartvig lyrics
- bila - oscar lolang lyrics
- all my life (black girl lost) - foxy brown lyrics
- here (remix) - charles goose lyrics
- man of the hour - statik selektah lyrics