ilo amapiano - moram tz lyrics
Loading...
vers 1
mbona unaleta maringo
nishasema nipo single
unatingisha na mwendo
unaruka na mitindo
nikiona wezere linanichanganya “changanya”
sasa mbona unabana bana “unabana”
bridge
ukinipa sitasimulia
nikipanda nitapapalia
nikipata sitakuachia
nitaruka na kushangalia
chorus
nipe niruke nalo ilo
nipe niseme nalo ilo
ilo ilo “ilo” ilooo
ilo ilo “ilo” ilooo
vers 2
unataka namimi nidange
upeleke umbea kwa mange
napiga misumari nashindilia
haina haja hata ya sidilia
wakija na wakuda
watatukuta barakuda
nipe mambo nipe nipe
nipe mambo nipe nipe nipe
bridge
ukinipa sitasimulia
nikipanda nitapapalia
nikipata sitakuachia
nitaruka na kushangalia
chorus
nipe niruke nalo ilo
nipe niseme nalo ilo
ilo ilo “ilo” ilooo
ilo ilo “ilo” ilooo
Random Song Lyrics :
- no eres tú - nico castro lyrics
- one drink in - donice morace lyrics
- blame - carlie (v.t.) lyrics
- killflow - reel wolf lyrics
- tatu - inge pradipta lyrics
- нежно ii (gently ii) - фиер (fieer) lyrics
- o meu fogo - marcela oliveira lyrics
- 側で見てるのに (soba de miterunoni) - narita lyrics
- imagine - realo lyrics
- moonlight - never back down lyrics