pole musa - moipei quartet feat. miriam makeba lyrics
Loading...
musa nimevumilia sana
musa nimevumilia sana
kupigwa pigwa kama mimi punda
na sura yangu imeharibika
na ngumi zako za kila siku musa taabu… taabu… taabu
kweli musavuliponioa
sura yangu, haikuwa na alama hata moja
nilikuwa na afya nzuri
nilinonakama ngoima ya kirige
kweli musa, uliponioa sura yangu, haikuwa na alama hata moja nilikuwa na afya nzuri
nilinonakama ngoima ya kirige oye, oye
tafadhali musa tafuta bibi atakayeweza kuvumilia hizo tabia zako
ukinywa pombe wamnywia yeye ukinywa munyeke wamnywia yeye pole… pole… pole.
Random Song Lyrics :
- 2º acto - rafa pons lyrics
- būvlaukuma romance - pērkons lyrics
- atmosphere (kaskade redux edit) - kaskade lyrics
- hold it against me (nause club mix) - adrian lux lyrics
- one room country shack - mercy dee walton lyrics
- aquarela do brasil - francisco alves lyrics
- land of cyanide - dagames lyrics
- gotta blast - paniqk b lyrics
- vanità di vanità - angelo branduardi lyrics
- kas metsämökin ikkuna - maija vilkkumaa lyrics