basi nenda - mo music lyrics
nenda by mo music
(1)
kulalama kufuru lakini
naona ndio napoza moyo
uwepo wako sawa na muiba kidoleni
ile tamu imegeuka shubiri
nilipokuthamini nikakupa moyo
hata kutendwa sikufikiri
kinywa kizito kukubali ukweli
moyo unashindwa inaniuma ni hatari
mapenzi yanatawala dunia sawa
nimechoka kutawaliwa kama
uwepo wako sawa na muiba kidoleni
ile asali w-n-lina wengine
siwezi kubishana na moyo
nilikupenda kipepeo
ila ile picha inaonyesha mapenzi yamekwisha
ooh
()
basi nenda
na me ntafute sababu ya kuridhia
sawa nenda
nami nitaudanganya moyo utatulia
basi nenda
na me ntafute sababu ya kuridhia
sawa nenda
nami nitaudanganya moyo utatulia
(2)
wanasema upendo wa kweli ndio haufutiki
ila kwa baadhi najua
right ningeelewa kuvuma kwa upepo hakutongebadili misimu ya jua
nilishajua miendeno yako
tusingewezana aaha
kumbe nakunywa maji ya moto nami bado mtoto
kw-ngu changamoto mmh
waliposema hufai
nilijipa moyo ni ya walimwengu
(bilekebizembe bindi biloza)
karol aliniambia
labda thamani ya mapenzi ni kikombe
sikukivunja sina thamani
sawa nimelewa sana sina haja ya kung’ang’ana
()
basi nenda
na me ntafute sababu ya kuridhia
sawa nenda
nami niudanganya moyo utatulia
basi nenda
na me ntafute sababu ya kuridhia
sawa nenda
nami niudanganya moyo utatulia
basi nenda
na me ntafute sababu ya kuridhia
sawa nenda
nami niudanganya moyo utatulia
basi nenda
na me ntafute sababu ya kuridhia
sawa nenda
nami niudanganya moyo utatulia.
Random Song Lyrics :
- 온도 (temperature) - mc mong lyrics
- lari sejenak - laze lyrics
- naked (with my headphones on) - rat city, kiesza lyrics
- lo sai chi siamo - mistaman lyrics
- when the river meets the sea - joe pisapia lyrics
- game on - daniel cha lyrics
- rocking that shit - the-dream lyrics
- тотем (totem) - cornyrare lyrics
- shots fired - st cloud(prod st cloud) lyrics
- eyvallah - gülşen lyrics