waziwazi - micjack lyrics
waziwazi lyrics
(intro)
o ye ye ye ye yeah
o ye ye ye ye ye
ye ye ye ye ye
me i’m crying for my love
me i’m crying for my love
(verse 1)
maumivu yananitesa mapenzi mie kipenzi
usinione tu mi ninatembea
ila mi moyo nusu ushanich0m*ka
nimebaki majivu napukutika nihurumie kipenzi
usinione tu nilikupepea
penzi nusu ndo maana ukanitoroka
mmhh kwanini umejificha tusionane
mie moyo w*ngu mie
umebaki nne nusu ya nane eeehh
(bridgе)
mmhh kama ni penzi nalilinda kama commando
na hakuna wa kupinga
wakusema hata no
sa kwanini leo unavimba unanikana ng’o
so baby naomba urudi tuongozanе
kama ni geti nalilinda wasigonge hata ngo
vijeti vya pinda unapanda una go
sa kwanini leo unavimba unanikana ng’o
so baby naomba urudi tuongozane
(chorus)
waziwazi umeniacha mi moyo waenda kasi
ukanidhurumu yangu nafsi
umeniacha mi na wasiwasi nambie
kwanini waziwazi umeniacha mie moyo waenda kasi
ukanidhurumu yangu nafsi
umeniacha mi na wasiwasi nambie
(verse 2)
kama ni watu washasema mengi sana
wenda mapenzi yetu yatakuwa ni majaribu
gugu w*ngu umenibana
mashinda kwenye game nakwaza tu we my boo
katu mama we ndo wa maana
kwa mwingine siwezi kupona tajiharibu
moyo w*ngu ukianza achana
we ndo doctor nakuenzi so njoo lady unitibu
(hook)
ila kama ukinidharau (sawa)
penzi langu ukaliweka dau (sawa)
itaniuma sana
(sawa sawa sawa)
na ukiniona kwako jau (sawa)
yani ukaniletea unyang’au (sawa)
itaniuma sana
(sawa sawa sawa)
(bridge)
kama ni penzi nalilinda kama commando
na hakuna wa kupinga
wakusema hata no
sa kwanini leo unavimba unanikana ng’o
so baby naomba urudi tuongozane
kama ni geti nalilinda wasigonge hata ngo
vijeti vya pinda unapanda una go
sa kwanini leo unavimba unanikana ng’o
so baby naomba urudi tuongozane
(chorus)
waziwazi umeniacha mi moyo waenda kasi
ukanidhurumu yangu nafsi
umeniacha mi na wasiwasi nambie
kwanini waziwazi umeniacha mie moyo waenda kasi
kwani shida yetu we na mi
si bado yanakuaga ni mazoea
nimekuzoeaga baby ahh
na tena usije geuka blade
ukanichana mwenzako nika dead
aiyaaah
ooh mmhh iyeiyeiye
(outro)
waziwazi umeniacha mi moyo waenda kasi
ukanidhurumu yangu nafsi
umeniacha mi na wasiwasi nambie
Random Song Lyrics :
- hazlo posible - 8kms lyrics
- target practise [s2.e1] a13 - a13(bs) lyrics
- for real - grind lyrics
- lumsden - samuel jagger lyrics
- end of resistance - carrion vael lyrics
- te alejas de mí - grupo aurora lyrics
- making a killing. - scarlxrd lyrics
- paris - tayyga lyrics
- noite das safadas (part. mc foca do salgueiro) - mc thay lyrics
- blue jamaica sky - carolina john rees lyrics