lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mkongwe (intro) - michael love lyrics

Loading...

[chorus]
oi mkongwe
kama ni ishu ya guap, basi njoo tubonge
mif*ko ka ali kiba na matonge
wala mi sio mungu so usiniombe
i had a long day, ka vipi zinyongwe
vitu vya dudu baya hivi vitu konki
kuna malaya, mixer kaya, mixer pombe
pisi za kihindi shombe shombe
toka bombay
njoo niku….

[verse 1]
njoo nikupe ma deal
njoo nikupe machine baby
unajua mi mwanaume kamili
njoo nikupigishe tizi kidogo, urudi na bonge la mwili
basi ata nikutoe outing
uone bonge la bill
unaweza hesabu a mill?
mwenzako mi shule mchawi
niliendekeza majani
now nipo high kama tawi
namaanisha tawi ya juu
wanangu matawi ya juu
nna wanangu wanao pambana
bado nawa napaisha juu
kitaa mi nnaitwa mkuu
na ukizningua utavunjwa miguu
nna wana wanasafisha pua (ah)
mwanangu we sema tu suu
hottest chini ya jua (ah)
n*gga unajua najua (ah)
way nnadrip navuja
noma ka juisi ya mua (ah ahhh)
jinsi na go hard kama putuluu au mkongo
shoo kali zaidi ya p*rno utasema mwana ana usongo
mi sina kipaji lakini natumia ubongo
bila pesa maisha uongo, ndani ya 255…

[chorus]
oi mkongwe
kama ni ishu ya guap, basi njoo tubonge
mif*ko ka ali kiba na matonge
wala mi sio mungu so usiniombe
i had a long day, ka vipi zinyongwe
vitu vya dudu baya hivi vitu konki
kuna malaya, mixer kaya, mixer pombe
pisi za kihindi shombe shombe
toka bombay
njoo niku….

{outro}
mkongwe
njoo tubonge
na matonge
usiniombe, had a long day
nyongwe
vitu konki
mixer pombe
shombe shombe
toka bombay

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...