subiri - mercy masika lyrics
Loading...
afadhali kungoja k*mgoja bwana
subiri, subiri bwana
usichukue njia ya mkato
usipotoshwe na shauri la wasio haki
heri mtu yule, afuataye sheria ya bwana
atakuwa kama mti, kando kando ya maji
huzaa matunda, kwa majira yake
kila atendalo atafanikiwa
umekuwa na maswali mengi mno
unashangaa mungu yuko wapi
umebisha bisha mungu yuko wapi
kufunga na kuomba
kukesha na kuomba
hupati majibu
mungu sio mwanadamu, hadanganyi
subiri kwa imani, subiri, wewe subiri
Random Song Lyrics :
- sklamalam - edyta bartosiewicz lyrics
- i gotta feeling - felix grey edit - orangez lyrics
- natasha & bolkonskys - dave malloy lyrics
- to my bro - verdugo lyrics
- how i’m feelin' - franc grams lyrics
- chaos reigns - mahatma crowley lyrics
- dancing with deaf alligators (dwda/better) - asoh black! lyrics
- lokah samasta - miten lyrics
- lighthouse - iamthemorning lyrics
- why you leave me - disiden lyrics