usiniharibie mood - mejja lyrics
[intro]
okuonko
betika imeivana nacheza na delivery (*laughter*)
mavo on the beat
[chorus]
oh please, usiniharibie mood
leo naskia tu fiti, leo sitaki, umtiti
oh please, usiniharibie mood
ile umeskia kunihusu, usiniambie ju, pia haikuhusu
[verse 1]
i*i, i just got paid, i just got laid
nimereconcile na bae, i’m happy
jana kalikuwa kamenuka, vitu zake alikuwa amepark
manze nilikuwa nimeshtuka
lakini leo bibi, amerelax
amenisamehe juu ya jana, clande
alipiga kama tumelala
“mejja leo tunaenda ulevi?”
“leo sitaku kurisk, leo nachеza chini ju—”
[chorus]
oh please, usiniharibie mood
lеo naskia tu fiti, leo sitaki, umtiti
oh please, usiniharibie mood
ile umeskia kunihusu, usiniambie ju, pia haikuhusu
[verse 2]
ai, ai, umeingia whatsapp?
kuna nini whatsapp?
we’ ingia whatsapp
we’ usitume message ya ufala
leo sitaki kuwa na mood mbaya, leo naskia tu raha
message ya ufala itashukishia sana
kwanza vile leo k*menice, mbaya!
usiniharibie mood
kwenye nilipeleka mapaper, wamepiga simu wamesema wanahire, so—
[chorus]
oh please, usiniharibie mood
leo naskia tu fiti, leo sitaki, umtiti
oh please, usiniharibie mood
ile umeskia kunihusu, usiniambie ju, pia haikuhusu
[outro]
mavo on the beat
Random Song Lyrics :
- djoli garcon - hermo lyrics
- carolyn - wes king lyrics
- tape na day - ron e polo lyrics
- я иду спать (i'm going to sleep) - триада (triada) lyrics
- shabach - walt whitman & soul children of chicago lyrics
- love notes - rich hoodie lyrics
- porco rosso - magma marshez lyrics
- diamonds - atta boy lyrics
- hasta pronto - kontra marín lyrics
- street are callin' - k-rino lyrics