lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

siskii - mejja lyrics

Loading...

[intro]
okwonko, yeah
(mavo on the beat)

[chorus]
siskii, siskii, siskii
niliambiwa nimuache siskii
kamote, kamote, kamote
pengting ameniseti kamote

[verse 1]
mbele ya watu ni mpole, very calm
lakini looks are deceiving, usitake k*muona ka amejam (ayy)
dodge dodge, dodge sahani, dodge hepa, dodge vikombe
dodge “mboch! ita ma*souldier”
pengting anataka kuniua, ah aki babe utaniua “sijali”
babe si upunguze kisirani, unachoma picha kwa jirani
“i don’t care”
[chorus]
siskii, siskii, siskii
niliambiwa nimuache siskii
kamote, kamote, kamote
pengting ameniseti kamote

[verse 2]
manzi yangu yе’ ni boxer, anajua mpaka kung*fu
nimeshindwa k*mtoka ye’ ni kichwa ngumu
manzi yako anakaaga mpolе (*laughter*) usifanye mi nicheke
baby face isikuingize, huyu ni stima, huyu ni nare
juzi nilimuambia simtaki, akaanza kisirani
“nitajiua, nitakunywa harpic”
nikamrudia ju ya ku*panic, ayy

[chorus]
siskii, siskii, siskii
niliambiwa nimuache siskii
kamote, kamote, kamote
pengting ameniseti kamote

[verse 3]
martha anataka nimuache
maboyz wanataka nimsare
mpaka number yake nime*block, adi ig n’takushow
alipiga na number sijuii, ki*undani nikaskia nimefurahi
kidogo nikaskia amedai “aki babe, nataka kukuona one, last, time”
akakuja amevaa mini, akanichanganisha akili, nikamnyandua tukarudiana (ayy)
[chorus]
siskii, siskii, siskii
niliambiwa nimuache siskii
kamote, kamote, kamote
pengting ameniseti kamote

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...