umechelewa - mbosso lyrics
ulikuwa wapi wakati nalia lia na mapenzi
ulikuwa wapi wakati silali nakosa usingizi
ulikuwa wapi wakati nashindwa kula chakula
ulikuwa wapi mbona umechelewa
mbona umechelewa mbona umechelewa
mbona umechelewa mbona umechelewa
nilipelekwa puta sikubembelezwa kupewa hadhi
nikala vya mafuta wakati mi hadhi yangu ya n*z*
k*mbe hata kitandani nilipaswa kupandishwa
hata kula mwiko yaani mi nilipaswa kulishwa
kwa urefu wa mkono gani mgongo kujisugulisha
mengine mapya ya chumbani oya we umenifundisha
mbona mbona umechelewa mbona umechelewa
kijiti eeeh kijiti ooh kijiti
kakishikashika kimemchoma kijiti kimemtoboa
kijiti eeeh kijiti kakishikashika kimemchoma kijiti
kama midomo chongeo kachongeni penseli
mambo ya kwenye video si tunayafanya kweli
kijiti eeeh kijiti
kakishikashika kimemchoma kijiti
unataka embe dodo ya nini urushe kote
tingisha mti kidogo chini utaziokota eeeh
kijiti eeeh kijiti
kakishikashika kimemchoma kijiti
wa mdondo wa mdondo huyo kuku wa madoa
kamaliza mikorogo ngozi kujikoboa
kijiti eeeh kijiti
kakishikashika kimemchoma kijiti
uuuh mwafulani mwisho wako barazani
mwafulani ushoga wa zamani kuyajua ya chumbani
kijiti eeeh kijiti
kakishikashika kimemchoma kijiti
odo odo w*ngu oooh odo
nikidondoka unibebe odo odoo odo
Random Song Lyrics :
- steep - illogic lyrics
- bressom - abssis lyrics
- entity - dc productions lyrics
- manuskript (samtv unplugged) - samy deluxe lyrics
- listen and stay awhile - femdot lyrics
- breathe - alic walls lyrics
- burnt and worn out - fredo disco lyrics
- dem cars - mistah f.a.b. lyrics
- gelecek yok - sefir lyrics
- starshining. - phxntom lyrics