tamba - mbosso lyrics
verse 1:
pasha maji weka moto’ tandika jamvi naja nyumbani
nimekuletea zawadi, kijora cha mkopo’ futa la n*z* ujipare, honey
na vijisabuni vya magadi’
nguru usimtoe chumvi ndio ladha yake
muunge tu’ nipe na chuzi na nyama yake
eh’
kula ya mbuzi ni kamba yake (oh oo…)
ye king’amuzi mi dishi lake
hook:
fungeni maturubahi (mkeshe mkisema!)
wala hamtupi shida (mkeshe mkisema!)
ndo kwanza tunajidai (mkeshe mkisema!)
kama afisa wa nida
ooh..ohho…
hook:
tena’ daktari nimekuja na tiba sindano (leta nchomeke!)
chunga kibinda mwali napita kwenye mabano (leta nchomeke!)
nipo ngagari tayari kwa mapambano (leta nchomeke!)
chai yaanguka asas leo mambo msuguano (leta nchomeke!)
chorus:
tamba…
tamba…
nakupa uwanja tamba
tamba…
tamba…
warushe warushike roho zao
tamba…
tamba…
wasokujua wakujue leo
tamba…
tamba…
tamba mama lao…
verse 2:
nitalinda benki kwa rungu’ niaminie
taka langu mwana mvungu’ nainama mie
wavunje n*z* na nyungu’ wajifushie
oh my w*ngu atulinde atulinde mungu’ yasitufikie
nilishak*mbwa na tsunami’ la mapenzi nikalia, na amani kwako sasa
penzi si la unyang’anyi’ peke yangu najilia na shiba na kusaza
naka t.v kangu kana waka kuzima’ nikupe
naka simu kangu j*po cha mchina’ nikupe
shika na moyo w*ngu nenda nao mazima’ nikupe
tuzaliwe makkah tufie madinah’ nikupe
hook:
fungeni maturubahi (mkeshe mkisema!)
wala hamtupi shida (mkeshe mkisema!)
ndo kwanza tunajidai (mkeshe mkisema!)
kama afisa wa nida
ooh…ohho…
hook:
tena’ daktari nimekuja na tiba sindano (leta nchomeke!)
chunga kibinda mwali napita kwenye mabano (leta nchomeke!)
nipo ngagari tayari kwa mapambano (leta nchomeke!)
chai yaanguka asas leo mambo msuguano (leta nchomeke!)
chorus:
tamba…
tamba…
nakupa uwanja tamba
tamba…
tamba…
warushe warushike roho zao
tamba…
tamba…
wasokujua wakujue leo
tamba…
tamba…
tamba mama lao…
[instrumentals]
wasafi…
hook:
nishalinoa panga’ porini kukata mua
mwana kaza kitanda’ usiku kuneng’emua
nishalinoa panga’ porini kukata mua
mwana kaza kitanda’ usiku kuneng’emua
uu yeah yeah…
uu yeah yeah yeah…
nishalinoa panga’ porini kukata mua
*mwana kaza kitanda’ usiku kuneng’emua
nishalinoa panga’ porini kukata mua*
aiyo aiyo aiyo yo aiyo…
la la la, la la la, la la la…
la la la, la la la, la la la…
aiyo, laizer
[instrumentals]
Random Song Lyrics :
- mandelada - mc wm lyrics
- c.t.l. - dux lyrics
- mairzy doats - dodie stevens lyrics
- hole in the pumpkin - ini kamoze lyrics
- with me (part 4) - destiny's child lyrics
- thuggin under god - soldier kidd lyrics
- soulja life - sherwood marty lyrics
- garderie (skit) - genie midas lyrics
- tough love pt.4 - young l3x lyrics
- ninar - mineforrey lyrics