lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

pakua - mbosso lyrics

Loading...

(it’s s2kizzy beiby)

yii! aga kana kiuno laini cha kucheza baikoko (koko)
nikikaona natamani tu nichambe doko (doko)
na roho kana tatu kwa mbili hapana si kimoko (moko)
aah*ah! chenga kwa mwili ka gere john boko

chii! eeh ah roho
kanavyo isheke isheketua (isheketu)
aga, kama hana kingili
anavyoicheketua (cheketu)

i say niletee niletee (niweke!)
oooh niletee (niweke!)
niletee mpaka chini (niweke!)
unaogopa nini? (niiweke!)

oh baby niletee niletee (niweke!)
oh niletee (niweke!)
mpaka juu darini (niweke!)
kusi na kasikazini

pakua! oh paku, pakua pakua!
uno la pochopocho
asa pakua, enhee eh (pakua pakua)
ka kisamvu cha kopo oya (pakua, pakua pakua)
pakua pakua, pakua
(vanny boy)
i say ilee, iletetе
mtoto punguza mapepe
acha kitee, kitetеte
nivunjevunje niwe kiwetete ayee

oh, kipo taabu
katoto kamepungua (sepetu)
kipele kikiwasha
sikuni nakakwarua (keketu)

mtoto kashika fimbo ya babu
namshikisha adabu
wasotupenda twawapa tabu
tunawaimbia taarabu

hao! hawana
hawana la kusema hawana
hawana, hawana la kusema hawana

i say niletee niletee (niiweke!)
oooh niletee (niiweke!)
niletee mpaka chini (niiweke!)
unaogopa nini? (niiweke!)

oh baby niletee niletee (niiweke!)
oh niletee (niiweke!)
mpaka juu darini (niiweke!)
kusi na kasikazini
pakua! oh paku, pakua pakua!
uno la pochopocho
asa pakua, enhee eh (pakua pakua)
ka kisamvu cha kopo oya (pakua, pakua pakua)
pakua pakua, pakua

oya baby, sisi
ndege laachia sa (funga mkanda)
eeh baby, sweety
za kushoto kulia (msongomsongo)

jamani popo popo
amsha popo (amsha popo)
nasema popo popo
leo popo (amsha popo)

(ka mix lizer)

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...