lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ova - mbosso lyrics

Loading...

ova * mbosso lyrics

#verse

vishavu vimeanza kunona

kitambi ndo hichi sasa ona

nitazame, nanenepa nanenepa

nami nimempata chioma

#hook

ulijichanganya, na nilikupenda sana

walokudanganya, ndo walokuponza dear

kujitia mpana, mara kunitukana

kwakweli hapana, nikasema ova dear

ova ova

#chorus

ova mi na wewe ova

ova imetosha ova

ova mi na wewe ova

ova nimesema ova

#hook

ulijichanganya, na nilikupenda sana

walokudanganya, ndo walokuponza dear

kujitia mpana, mara kuntukana

kwakweli hapana, nikasema ova dear

#verse

shilingi shilingi shilingi
shilingi yatutoa roho shilingi

shilingi yo ni mwanaharamu shilingi

shilingi ya ua mapenzi

#hook

ulijichanganya, na nilikupenda sana

walokudanganya, ndo walokuponza dear

kujitia mpana, mara kuntukana

kwakweli hapana, nikasema ova dear

#chorus

ova mi na wewe ova

ova imetosha ova

ova mi na wewe ova
ova nimesema ova

#outro

ulijichanganya, na nilikupenda sana

walokudanganya, ndo walokuponza dear

kujitia mpana, mara kuntukana

kwakweli hapana, nikasema ova dear

ova ova

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...