amina - matata lyrics
[verse 1]
nilipokua jana
sipo nilipo leo
si kwa ujanja w*ngu baba (aah)
ata walipo nikana
ulibaki na mimi
nina kushukuru sana
ni wewe milele kipekee nina kuabudu
nisamehe nikikosa nikiwama unipe majibu
ni wewe milele kipekee nina kuabudu
nisamehe nikikosa nikiwama unipe majibu
[pre*chorus]
umesababisha najidai
umesababisha nafurahi
natembea kifua mbele amen
kwa hizi baraka na uhai
baba sina cha kukudai
aloniweka weka hapa ni wewe
[chorus]
acha nikusifu milele amina
milele amina milele amina (ehh)
acha nikusifu milele amina
baba milele amina milele amina (ehh)
[verse 2]
naona ka nina bahati
kwa yote uliofanya ohh thank you lord
miujiza mbele yako na piga goti
naona ka nina bahati
kwa yote uliofanya ohh thank you (lord)
miujiza mbele yako na piga goti
wee ndo unaejua, napokanyaga napotembea
na kila hatua dua, napopata napokosea
wee ndo unaejua, napokanyaga napotembea
na kila hatua dua, napopata napokosea
[pre*chorus]
umesababisha najidai
umesababisha nafurahi
natembea kifua mbele amen
kwa hizi baraka na uhai
baba sina cha kukudai
aloniweka weka hapa ni wewe
[chorus]
acha nikusifu milele amina
milele amina milele amina (ehh)
acha nikusifu milele amina
baba milele amina milele amina (ehh)
[verse 3]
kama machozi hayatoki tena
umeniokoa baba wee ni mwema
nakuita mwokozi nakosa cha kusema
we ndo nambari moja nakupenda daima
kuna mikasa na visa (aah)
haya maisha ni vita (ahh)
bado uko na mimi oohh
mkono w*ngu umeushika (ahh)
haujawai kuniwacha (ahh)
nitakusifu milele baba wa mbinguni
[chorus]
acha nikusifu milele amina
milele amina milele amina (ehh)
acha nikusifu milele amina
baba milele amina milele amina (ehh)
Random Song Lyrics :
- doll parts (peel session) - hole lyrics
- you said... - 4amcollective lyrics
- elle sait - kikesa lyrics
- refrigerated orange juice - battts lyrics
- provincialism - jakob hallett lyrics
- tu vedrai - franco mimmo lyrics
- i can't help myself - liz longley lyrics
- vims - enseñarle lyrics
- hate me - kevin kloud lyrics
- magia (en vivo en el auditorio nacional) - sin bandera lyrics