lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

system ya majambazi - mashifta lyrics

Loading...

[intro: kitu sewer and g-wiji]
alidhani ni askari k-mbe ni majambazi
mashifta
mashifta
hivi ndivyo si hufanya, ahaa
hivi ndivyo si hufanya
hivi ndivyo si hufanya, ahaa
ahaa ahaa
twende
twende kazi

[verse 1: g-wiji]
naileta kwa mitaa yenu kama bunduki
tena naileta kama chuki
nafuata nyuki
na silaha na kufunga kazi
nafanya kazi ama nimeandika wafanyikazi
tunakufa na umaskini, ukimwi na kuuana
alafu mtu aniambie juu ya kupanga uzazi, uwa
informer ambia paparazzi
simeon siku hizi anavaa buibui mrembo
mwenye alimpea mtoto hajui
man, maintain total
system ni ya majambazi
toka kila mtu apende ‘it wasn’t me’
fm zingine hazifiki ush-go, uliza kbc
wasomi, homie, wanataka vasectomy
homie, juu ya economy
barua kwa karani amevaa miwani
aonekane handsome to my honey
kijana anakula mahindi unaskia harufu ya njugu
haukuenda matanga ya ndugu
nafanya my time nikichungwa na mungu
ngumu kuwacha crime, unaikula kama pilipili
akili control mwili
msichana alibadilisha mtoto kwa hospitali
wakaishi kwa hali ya utajiri
poison watu kwa hoteli wakuje kwa hospitali tuliofungua
una ndoto kununua baiskeli, mi ndege
chapa wasenge
dj nilenge na reggae, yeah

[hook] x2
hii system ni ya majambazi
ma-pastor majambazi
ministers majambazi
ma-lawyer majambazi
na si vijana wa ghetto
maja-mbazi
askari wazazi

hii system ni ya majambazi
ma-pastor majambazi
ministers majambazi
ma-lawyer majambazi
na si vijana wa ghetto
maja-mbazi
askari wazazi

[verse 2: kitu sewer]
kuna vita nje ndio maana blood pressure inapanda
bodyguards wanarandaranda
bosses wanapimwa na silaha kwa verandah
hauwezi shiba vizuri na watoto kwa nyumba
huwezi iba vizuri, police wako nyuma
we ni mali ya umma
uongo na mkono moja kwa bible
kwea na mitambo ya chuma kwa parliament
na nyumba za kuombewa
unatolewa ushuru na pistol
kwa mdomo kwa jina la kristo
hewa imejaa diesel
watu wanatamani kupumua kama magari na mandege
protein na vitamin kwa matembe za kulevya
dhuru afya ndio pesa zitengenezwe
technology, shortcut za kifo
system; eight minus four, minus four equals zero
miguu zinapanuliwa kwa giza
tuliharibiwa vichwa na pombe ka tuko bado kwa mimba
generation ilipita kwa condom zimetoboka juu ya kutotosheka
tulizaliwa kwa ma-incubator
vita ni juu ya tamaa, mbio juu ya saa ministers
badilisha magari kwa uoga wa kufuatwa
andika will leo in case kesho utamadwa
patwa na bibi ya reverend, nyongwa na sacrament
pesa chafu kwa minister, father na padre
sumu kwa kinywaji, hau-trust hata maji
family pia ni wauaji
tangu ‘pesa, pombe’, nashuku macho zinaniangalia
shuku mikono zinanisalimia
gari zinaongeza mbio zikikukaribia
nairobi mji wa wezi na malaya w-n-lia
machozi za diamond kwa lodging
flying squad wanahoji
umetoa wapi gari na haufanyi kazi?
we ni jam-jam-jambazi

[hook] x2
hii system ni ya majambazi
ma-pastor majambazi
ministers majambazi
ma-lawyer majambazi
na si vijana wa ghetto
maja-mbazi
askari wazazi

hii system ni ya majambazi
ma-pastor majambazi
ministers majambazi
ma-lawyer majambazi
na si vijana wa ghetto
maja-mbazi
askari wazazi

[outro]
ma-broker, ma-hawker
ma-bro ka wasee wa barabara, dandora
fanya kweli, yeah

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...