pesa, pombe, siasa na wanawake - mashifta lyrics
verse 1 (kitu sewer)
shuku macho zinakuangalia
shuku mikono zinakusalimia
zimetoka wapi
shuku barua unaandikiwa bila address
na pesa unapewa ovyo ovyo
utalipa na damu
chuki ndio inafichwa na salaam
guza pesa na jina chunga
usipatwe na bibi ya msee
position mbaya
unaunganisha wire ya stima na maji
mc anatumia solar energy
hakuna msee ako na allergy ya pesa
wanasiasa
wananitaka mi kwa ma-ambulance
au kwa mercedes benz
ma-two thirty system za multi party zituvute katikati ka kamba ya tug of war
ipi ndio refu ni mkono ya law ama ya wezi
maskio zinapokea
frequency ya senti ka zinagongana socks
zinachomelewa ka umevaa ndula
nguo ka haijakauka
radio ka inaimba
sembe ka haijaiva
ka uko kwa bafu curfew
ya mwanaume by saa tatu
asikose kwa bar
polygamy, bibi wa kwanza pombe
tamaa za tumbo na kimwili
eighty percent ya akili
wanaume ni kwa pesa na kwa opposite s-x
ndio maana hapa enzi isha wezi na malaya
kesho wataitwa mama ndio ma-s-x worker
ma-pick pocket ukiwaka ndio
pesa zinapotelea
in the thin air
ka shimoli kwa high court
pesa ndio power
pesa ndio inagawa family bwana na bibi
ndio inagawa society nzima maskini na matajiri
chorus
pesa pombe siasa na wanawake (pesa)
ndio zitafanya wanaume wauane (pombe)
pesa pombe siasa na wanawake (siasa)
ndio zitafanya wanaume wazunguke (na wanawake)
pesa pombe siasa na wanawake (pesa)
ndio zitafanya wanaume wauane (pombe)
pesa pombe siasa na wanawake (siasa)
ndio zitafanya wanaume wazunguke (na wanawake)
verse 2 (gwiji)
watu wengine
wanahubiri maji lakini wanakunywa vinywaji tofauti
ghost names kwa list yako ya mshahara
niki-handle biashara naangusha kibiro
amsha ki-v–gr- inside hasara
kwa doki imeandikwa tu hivi sigara
ndio urembo natural
msichana anaharibiwa akiwa mdogo raaa
nina feeling ka nitaendelea kuishi ntakuwa mdosi na utosini nina kihara
uso nionyeshe mafikira
harufu ya chwara kwa secret admirer
tuko kenya ya miraa, furaha
kwafaa weddings uendee funeral
kika yote!
nakuwa constructive na time yangu juu hakuna job
mambo yote!
yako ya privacy yanaingiliwa na press
ki-milton obote!
unaf-kuzwa kwenu hakuna uzuri kwote!
rudi twende after kamkunji tumevalia masuti mamua ndani ya briefcase
nikitaka kujua
ka iko ndani inaharibika ntaangalia namba ishia
na makorna kwa butchery
bado
sina upendo kwa polisi
bado
brother hawezi uma njaro
chorus
pesa pombe siasa na wanawake (pesa)
ndio zitafanya wanaume wauane (pombe)
pesa pombe siasa na wanawake (siasa)
ndio zitafanya wanaume wazunguke (na wanawake)
pesa pombe siasa na wanawake (pesa)
ndio zitafanya wanaume wauane (pombe)
pesa pombe siasa na wanawake (siasa)
ndio zitafanya wanaume wazunguke (na wanawake)
verse 3 (kitu sewer)
kifo
ndio haijui utoto na uzee
cell ndio watalala minister na chokoch
gun ndio haijui ka umejaa ama umekonda
kifo ni moja
shida ni kuingoja
nani ndio nani mahabusu amevaa
nyeupe vi-angel
ma-pastor wamevaa
nyeusi videvo
ma-conmen
wameekelea sura za wasamaria wema
pastor kwa hema anaponya
vipofu na viwete wanaona na wanatembea
actually aliwa-hire
kaa kando na siasa
kupindua akili ya mjinga
ni ka kupindua o upside down
mi ni talk of the town ka si
pesa pombe na, wanawake nami
kwote watu wa mtaa ni wezi
kwote wanafanyi kazi wa bank ni wezi
walichora kila kitu kwa map
tunaongozwa na pesa na saa
ndio tunaiva kwa makaa
inaotwa na wanasiasa
nina maswali haiananga answer
tulichagua mayor ama nightmare your worship
city ime-turn yellow juu ya makojoo
sewage zimetoboka, barabara mbaya mbaya
takataka za hotel kubwa kubwa zinatupwa kwa slums
na guns za makarao
zinatoa chuma badala ya rubber saa za riots
chorus
pesa pombe siasa na wanawake (pesa)
ndio zitafanya wanaume wauane (pombe)
pesa pombe siasa na wanawake (siasa)
ndio zitafanya wanaume wazunguke (na wanawake)
pesa pombe siasa na wanawake (pesa)
ndio zitafanya wanaume wauane (pombe)
pesa pombe siasa na wanawake (siasa)
ndio zitafanya wanaume wazunguke (na wanawake)
verse 4 (gwiji)
na shimoli wao nao virgins na ball
hitmans pastor na wee mnapenda pesa
sa-sa
naishi leo
ni ka hakuna kesho
kwa marafiki
kuna wasaliti
hii story ni ka ya
dame ali-lose virginity
kuwa akitafuta mr. right
waongezwe violence kwa robbery
ma-debt za kisiri
masiri zinakuweka kwa hatari
alafu inakaa ulipata heart attack ama accident ya gari
deputy anafurahia ku-inherit
unasifiwa ulikuwa mpoa ukishadedi
kila ndururu na sipendi
ka haunipendi sikupendi
masiku za wiki ikuwe tu ni weekendi
tuna-commit sins zina-annoy the devil
kila level ya kesi ki-biwott
okota kwa hizi controversy
na kuchukua to your wildest fantasy
siwezi ishi bila radio
bla bla bla ow!
wow!
mwanamke akiwa mang’aa
mrudishe kwao
na-represent waafrika wapendanao
na wakusanyikusanyi kwa barabara
lakini wanafanya maajabu wakiwa peke yao
sa tutalala njaa au tutaiba
sa watatuita scrubs au pigeons
mixing business with pleasure
honey, alifanya tukosane na ndugu
money, ilifanya tukosane na ndugu
Random Song Lyrics :
- believe - evrint bless, sweet sadness lyrics
- na cara - bebel gilberto lyrics
- голодный пёс (hungry dog) - seemee lyrics
- all diese ereignisse - blindzeile lyrics
- 3-pound thrill - wesley willis lyrics
- red black and blue - marilyn manson lyrics
- i don't really know - coolmowee lyrics
- commentaar - kevin lyrics
- zoom - because (phl) lyrics
- down ashland - packy lundholm lyrics