usinijudge - marto lee lyrics
hehe, yoyo
linsky
marto lee
gaza nation
kuna somethings yenye haitaki discussion
vitu kadha mechi ikiwa moja wapo
mpaka kwa mathree siogopi kupita nayo
walevi pekee ndio hulalanga kwa mtaro
na kama fom haina madem mi sitaki
requirement ni either vapor ama bangi
mi hininice nikishikisha kinywaji
tabia za sherehe watu kuget nasty
chora seven hapa mi ndio dictator
i′m the owner wa hio kitu unaipenda
mi ni sniper ikikam kwa hio sector
na mi nafeel wow yaani mi nafeel better
mi napendanga wajaka ju ya haga zao biggy
napendanga wakamba ju wanapenda sana miti
napenda wakisii ju ya thighs na matiti
aki sijui mi huwa sipendangi nini
lakini usinijudge, buda usinijudge
manze usinijudge, me nasema usinijudge
buda usinijudge, walahi usinijudge
buda usinijudge, me nasema usinijudge
marto lee usinijudge, judge judge judge judge judge yoh
me nasema usinijudge, judge judge judge judge judge
sa ju mapema ndio best hivi ndio naianzishanga
tunaopen our legs kichwa tukitingishanga
so buda songa na pace dance style ikikubamba
haijalishi ukona taste hii ngoma joh itakubamba
dance moves leo ni miondoko na maodi
mashori watingize dogodogo tuwanotice
alinitoa soko tukaandamana kwa lodgings
si kiboko ni ya mtoto mkorofi
do the necessary hii place iko condusive
mi ni wa missionary ju hukuwa impressive
siezi ngara short hii kitu huw*nga massive
mbona nikuchoche mummy uko seductive
mi napendanga wajaka ju ya haga zao biggy
napendanga wakamba ju wanapenda sana miti
napenda wakisii ju ya thighs na matiti
aki sijui mi huwa sipendangi nini
lakini usinijudge, buda usinijudge
manze usinijudge, me nasema usinijudge
walahi usinijudge, mimi usinijudge
walahi usinijudge, me nasema usinijudge
marto lee usinijudge, judge judge judge judge judge judge
walahi usinijudge, judge judge judge judge judge judge
eh, ukija pande ya haga bana me hapan chagua
napita nazo nazo basi leo utanijua
kanajiita mona lisa juu kanapenda maua
kakipita base flani hapa bana utaniua
bang bang basi twende nayo chini
tweng tweng nitagonga na hiyo mini
ching ching ile ki desgne ya ki shaolin
ding ding basi me ndo wao darling
eeeh! basi please usinijudge
lakina unaweza tu kuja tu kuni touch
unajua nikimalizaga napigaga watu pass
unajua nikimalizaga napigaga watu pass
mi napendanga wajaka ju ya haga zao biggy
napendanga wakamba ju wanapenda sana miti
napenda wakisii ju ya thighs na matiti
aki sijui mi huwa sipendangi nini
lakini usinijudge, buda usinijudge
walahi usinijudge, me nasema usinijudge
marto lee usinijudge, mimi usinijudge
walahi usinijudge, me nasema usinijudge
marto lee usinijudge
i can’t men
Random Song Lyrics :
- c'est mon monde - rocca lyrics
- addict - adventure galley lyrics
- house boy - count bass d lyrics
- cinco letras - quijano lyrics
- saviour (the angry kids fm mix) - lights lyrics
- kom maar bij me - christiaan hof lyrics
- let's be fucking stupid - example lyrics
- all you leave behind - hannah cartwright & ross tones lyrics
- djanta - kanaa lyrics
- hetare än lava (med syster sol) - general knas lyrics