unanionea - marioo lyrics
its bonga…
(verse 1:)
mmmmh
hivi kweli yupo mwenye roho mbaya kukushinda
maana me sijaona duniani
hivi kweli yupo aso na haya kukushinda
maana mie sijaona… sijaona…
we mtu gani uko radhi mwenzako ateketee
wakati unajua dawa yake k*mponya nihurumie
ama mtu gani aliefika akaongeza makeke
na wakati anajua me kwako ndo napona anihurumie
me najua mapenzi sio kwichikwichi tu
yanayonogaga mazoea nimekuzoea
mmmh mmmh!
(chorus:)
unanionea mwenzako siwezi matukio mazito
unanionea,unayonipiga mieeeeh!
unanionea.unafanya niamini mapenzi mabaya
unanionea.lolooooo mmmmh!
(instruments:)
(verse 2:)
na kama kuachana nimekubali sawa fanya yako
ila sio lazima unioneshe uniumizeee!
au kisa unajua unaniacha bado nakuhitaji
ndo unaona bora unikomeshe unilizeeeh!
aaah poapoa nishajua vya utamu vinakuaga vya uchungu
ili doadoa milima haikutani
j*po najuaa mapenzi sio kwichikwichi tu
yanayonogaga mazoea nimеkuzoea
mmmh mmmh!
(chorus:)
unanionea mwenzako siwеzi matukio mazito
unanionea.unayonipiga miee eeeh
unanionea.unafanya niamini mapenzi mabaya
unanionea.lolooo unanionea!
unanionea bure eeeh!
lolooo!
hata bonga anajua unanionea
chino anajua unanionea!
Random Song Lyrics :
- 33 three's - ltthemonk lyrics
- a não ser o perdão - marjorie estiano lyrics
- 22 - the vamps lyrics
- murder rate - manman savage lyrics
- odara (no país das marias) - ayo shani lyrics
- niagara - izi lyrics
- wonderful god - montell fish lyrics
- gelo - fuse lyrics
- light in your eyes - ichokas lyrics
- untitled ft ericasta - treezy b lyrics