unanikosha - marioo lyrics
mmh aah weka utamu lady
kabla hakujakucha my lady
mmmh aah nahisi nadedi
ukisimama kwa ukucha my lady
aah nahisi joto sio joto baridi sio baridi
mmh nakuwa katoto katoto we unavyonifariji
hizo bingiri bingiri mpaka chini
nakupa pingili bafuni kabatini
baby lako timwili timbwili la kijini
mmmh aah aaah
we ndo unikosha
we ndo unanikosha (aah aah umenikaa)
we ndo unanikosha (mmh aah unanikaa)
we ndo unanikosha
baby nipe tena kimoko
kisheti ninywe na chai
wa kusela kusema wanoko
nipetii niwe nishai
bila wewe lazizi nahisi ningehenyeka sana
nataka nikutoe baby copa cabana
ila wewe lazizi unajuaga kueneka bana
nataka nikutoe baby mmh
hizo bingiri bingiri mpaka chini
nakupa pingili bafuni kabatini
beiby lako timwili timbwili la kijini
mmmh aah aaah
we ndo unikosha
we ndo unanikosha (aah aah umenikaa)
we ndo unanikosha (mmh aah unanikaa)
we ndo unanikosha
aah niko nyuma naiokota
dondosha mmh aah dondosha
ukizima naikokota
dondosha mmh aah dondosha
fanya kama kuisokota
dondosha aah aah dondosha
mbona kama inatokota
dondosha, dondosha
Random Song Lyrics :
- thistle - haych & novaleit lyrics
- fiction - amaïa li lyrics
- yerach ben yomo - forest spirit, sun on your back lyrics
- morocha - ruggero lyrics
- no shoes in the coffee shop (or socks) - hot mulligan lyrics
- frágil - lippi lyrics
- bag it pt. 2 - xaviersobased lyrics
- turn on da lights (hoe) - ch3rry cola lyrics
- dinamita - la bala lyrics
- new feel - mola lyrics